Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Habari za uzima wana JF,
Kuna jambo linanitatiza sana pale unaposhuhudia mke/girlfriend au mme/boyfriend wa mtu anaendeleza uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake wa zamani au mpenzi wake waliocheza "kibaba baba" au "kimama mama" na ninaposikia watu wakisema kuwa msichana ulimtoa usichana/bikr* ni vigumu kukusahau na hata ukikutana naye baada ya kuolewa kwake hakunyimi.
INANIPA SHIDA SANA UKIZINGATIE WENGI WETU TUNAOANA TAYARI TUMESHAINGIA KWENYE MAHUSIANO MENGINE. Jamani naombeni mawazo yenu kwani nahofia kuoa tena.