dah!!we achaa unanikumbushaa nikiwa mdogo banaa.siunajua michezo ya watoto kunasiku nilikuwa nakimbiaa naliaa kamaa pikipiki ndooooooooooo pruuuuuuuuuuuuuuuuu puuuuuuuuu...bana kumbe kuna mzee ana bushaa,nilisikiaa kirunguu tuuuuuuuuuu cha kiuno,unaambiwaa nikaenda kusema kwa dingi.dingi akaniambia ulivyo fanya vile yule mzee anaumia kwani ni mgongwaa...aaah!kwavile nilikuwa sijui nikajuaa mbonaa alibadili mtaaa....nikawambiaa na wezangu,tumjambishee yule mzeee