gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Weka risiti ya efd ubaoni wacha utahira,chama linachacha hilo,mbona badoSasa kwani ni uongo?Polepole anafanya biashara hiyo
Ninyi wafuasi wa CHADEMA ninawafananisha na wafuasi wa Donald Trump maana mnaamini kila kinachotoka kinywani mwa viongozi wenu. Hata hamuulizi wala kuhoja kama kuna ukweli ama siyo. Wakisema huyu ni mwizi mnashangilia na kumshambulia mwizi wakisema huyu siyo mwizi kasingiziwa na CCM mnaanza kumuita Kamanda halafu mnadiriki kuwacheka wenzenu wa kijani wakati bora hata hao wenzenu wa kijani kuliko ninyi.Ahame tu. kwanza ameshakuwa makapi.
Naona likarai lilitoboka kwenye ubora wako.Ahame tu. kwanza ameshakuwa makapi.
Naona likarai lilitoboka kwenye ubora wako.
Chizi na kichaa wote ni wendawazimu hivyo sioni unafuu wa wana cdm hao ndiyo misukule wakubwa wanawezaje kudeki barabara apite mtu aliyetangazwa miaka 7 kuwa fisadi?Hii hali ni zaidi kule Lumumba ambapo vijana ni sawa na misukuleee
Na wakinunuliwa mnasema wamehama!CHADEMA VIJANA WANATUMIKA TU.
Alisema Getrude Ndibalema - Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara BAVICHA .
Akaongeza...
"Chama kimefeli kuwalea vijana kufikia malengo yao ya Kisiasa."- Ndibalema
"Kinawaacha wakue wenyewe bila misingi na malezi ya kimaadili kama watoto wa Kuku wa kienyeji"- Ndibalema
Kimsingi sijui vyama vingine CHADEMA hakina demokrasia kabisaaa..."-Ndibalema
" Nazuiwa kuchangamana na CCM mfano Anna Makinda , Ummy mwalimu kupiga nao picha kama viongozi wanawake wenzangu ikawa nongwa mi siwezi ishi kwa ubaguzi na kazi zangu za kiuana habari zitafeli kwani hata kuhoji mwana CCM kama Mtulia nayo ilikuwa kesi"- Ndibalema .
"Watazungumza upuuzi mwingi ila mi nimeamua kubaki mwanachama wa kawaida kuwapisha, majungu sitaki wakiona vipi waamue ila Chama kama chama nakipenda tatizo ni wapuuzi fulani fulani katika uongozi."
"Nikweli niliwahi pigwa na Katibu Mkuu BAVICHA kwa tamaa zake za mapenzi nikampeleka mahakamani.
Badae viongozi wakanisihi nikamsamehe japo wao wameendelea kunizonga, waniache nifanye kazi zangu ila wathubutu kunifatilia na kusema uongo dhidi yangu nitafunguka ukweli mtupu wa madudu yaliyopo"- Ndibalema
"Itambulike CHADEMA sikuwa nalipwa kwa miaka nane hata katika nafasi hii hadi Mwenyekiti , hakuna mshahara kwa viongozi wa BAVICHA Taifa ni kazi za Kujitolea tu labda vijiposho vya kazi maalum, na Katiba inasema ili ugombee lazima uwe na kazi yako au chanzo kinachokupatia kipato halali hivyo nimekisaidia chama na tumesaidiana, tumefaana sina deni" - Ndibalema
"Nimeamua kufanya mambo yangu binafsi kwa maslahi ya Taifa langu."- Ndibalema.
Chanzo: Star tv Tuongee Asubuhi - Live talk show.
Ni kweli wananunuliwa na ata uyu aende zake kapi la dengu hili.. kwani mbona wabunge wa viti maalum hawaendi kuunga mkono juhudi, jibu ni kwamba kuama kwake hakuwezi hakuwezi kupelekea uchaguzi ivyo ccm kumpa nafasi ila chafema tutateua mwingine kuziba nafasiCHADEMA VIJANA WANATUMIKA TU.
Alisema Getrude Ndibalema - Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara BAVICHA .
Akaongeza...
"Chama kimefeli kuwalea vijana kufikia malengo yao ya Kisiasa."- Ndibalema
"Kinawaacha wakue wenyewe bila misingi na malezi ya kimaadili kama watoto wa Kuku wa kienyeji"- Ndibalema
Kimsingi sijui vyama vingine CHADEMA hakina demokrasia kabisaaa..."-Ndibalema
" Nazuiwa kuchangamana na CCM mfano Anna Makinda , Ummy mwalimu kupiga nao picha kama viongozi wanawake wenzangu ikawa nongwa mi siwezi ishi kwa ubaguzi na kazi zangu za kiuana habari zitafeli kwani hata kuhoji mwana CCM kama Mtulia nayo ilikuwa kesi"- Ndibalema .
"Watazungumza upuuzi mwingi ila mi nimeamua kubaki mwanachama wa kawaida kuwapisha, majungu sitaki wakiona vipi waamue ila Chama kama chama nakipenda tatizo ni wapuuzi fulani fulani katika uongozi."
"Nikweli niliwahi pigwa na Katibu Mkuu BAVICHA kwa tamaa zake za mapenzi nikampeleka mahakamani.
Badae viongozi wakanisihi nikamsamehe japo wao wameendelea kunizonga, waniache nifanye kazi zangu ila wathubutu kunifatilia na kusema uongo dhidi yangu nitafunguka ukweli mtupu wa madudu yaliyopo"- Ndibalema
"Itambulike CHADEMA sikuwa nalipwa kwa miaka nane hata katika nafasi hii hadi Mwenyekiti , hakuna mshahara kwa viongozi wa BAVICHA Taifa ni kazi za Kujitolea tu labda vijiposho vya kazi maalum, na Katiba inasema ili ugombee lazima uwe na kazi yako au chanzo kinachokupatia kipato halali hivyo nimekisaidia chama na tumesaidiana, tumefaana sina deni" - Ndibalema
"Nimeamua kufanya mambo yangu binafsi kwa maslahi ya Taifa langu."- Ndibalema.
Chanzo: Star tv Tuongee Asubuhi - Live talk show.
Watanzania sio wajinga ,biashara inajulikana ,bei inajulika wananunuliwa hata huyo piaCHADEMA VIJANA WANATUMIKA TU.