Wakenya waunga mkono MABADILIKO...

Wakenya waunga mkono MABADILIKO...

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Nipo Hapa Nairobi Kenya Siku Ya Tatu Sasa..mda huu nimekaa naongelea nyumbani Tz, Nimekaa na wakenya wawili hapa dah jamani kumbe wakenya wanatujua sana watz na wanampemda kishenzi LOWASSA yaani ile slogani ya Mabadiliko wanaijua vilivyo...wanatamani CCM iondoke madarakani wanamchukia sana mkuu wetu ukisikia wanavyomsema na alivyoshindwa kuhandle nchi hii kimaendeleo...wanasema angekuwa uhuru ndo raisi wa tz miaka miwili tu mambo yangekuwa bye..

Ukiwasikia wanavyoongea utafutahi yaani......

Basi nikawaonyeshea vidole viwili juu wao wakasema lowassa hadi raha...

USHAURI walionipa tusifanye MAKOSA mwaka huu.....

GO GO GO UKAWA NAKUJA KUONGEZA KURA YANGU KICHINJIO NINACHOO........

Peooooooooooopleeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzz!!!!
 
Peooooooooooopleeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzz!!!![/QUOTE
kama wanampenda waambie waje wampigie kura...
 
Nipo Hapa Nairobi Kenya Siku Ya Tatu Sasa..mda huu nimekaa naongelea nyumbani Tz, Nimekaa na wakenya wawili hapa dah jamani kumbe wakenya wanatujua sana watz na wanampemda kishenzi LOWASSA yaani ile slogani ya Mabadiliko wanaijua vilivyo...wanatamani CCM iondoke madarakani wanamchukia sana mkuu wetu ukisikia wanavyomsema na alivyoshindwa kuhandle nchi hii kimaendeleo...wanasema angekuwa uhuru ndo raisi wa tz miaka miwili tu mambo yangekuwa bye..

Ukiwasikia wanavyoongea utafutahi yaani......

Basi nikawaonyeshea vidole viwili juu wao wakasema lowassa hadi raha...

USHAURI walionipa tusifanye MAKOSA mwaka huu.....

GO GO GO UKAWA NAKUJA KUONGEZA KURA YANGU KICHINJIO NINACHOO........

Peooooooooooopleeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzz!!!!

Pambaf, kumbe hujui kuwa wao wanataka aingie huyo mpiga Dili ili waje wakalie uchumi wetu. Tutachagua Rais wa Tanzania siyo wa Kenya.
 
Mimi ni mwana mabadiliko ila sishabikii opinions za manyang'au. In fact natamani EL akiingia afufue ATCL then apige marufuku watalii kupitia Kenya. Pia afukuze wakenya walioko TZ ambao ni mizigo (waganga njaa hawana kazi ya kujenga uchumi wa TZ) na wale majizi walionunua maeneo makubwa huku TZ.
Last, ashughulikie issue ya Kenya kupata hela nyingi from tanzanite kutuliko!
 
Pambaf, kumbe hujui kuwa wao wanataka aingie huyo mpiga Dili ili waje wakalie uchumi wetu. Tutachagua Rais wa Tanzania siyo wa Kenya.

Bora anayeitwa mwizi lakini ni mmoja kuliko team nzima ya majizi na mfumo mzima uliobaki huko ccm. Huyu mmoja ataiba na Kisha ataridhika. Tutamchagua hivyo hivyo hata km hataleta maendeleo.
 
Nipo Hapa Nairobi Kenya Siku Ya Tatu Sasa..mda huu nimekaa naongelea nyumbani Tz, Nimekaa na wakenya wawili hapa dah jamani kumbe wakenya wanatujua sana watz na wanampemda kishenzi LOWASSA yaani ile slogani ya Mabadiliko wanaijua vilivyo...wanatamani CCM iondoke madarakani wanamchukia sana mkuu wetu ukisikia wanavyomsema na alivyoshindwa kuhandle nchi hii kimaendeleo...wanasema angekuwa uhuru ndo raisi wa tz miaka miwili tu mambo yangekuwa bye..

Ukiwasikia wanavyoongea utafutahi yaani......

Basi nikawaonyeshea vidole viwili juu wao wakasema lowassa hadi raha...

USHAURI walionipa tusifanye MAKOSA mwaka huu.....

GO GO GO UKAWA NAKUJA KUONGEZA KURA YANGU KICHINJIO NINACHOO........

Peooooooooooopleeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzz!!!!

Akili iko kwenye nyeti za nyuma!!! Wakenya hupiga kura tz? Ukijibu hilo swali.... Akili ntakueudishia kichwani
#hapakazitu babangu

Imejipost from Las Vegas Boulevard, Nevada USA
 
Nipo Hapa Nairobi Kenya Siku Ya Tatu Sasa..mda huu nimekaa naongelea nyumbani Tz, Nimekaa na wakenya wawili hapa dah jamani kumbe wakenya wanatujua sana watz na wanampemda kishenzi LOWASSA yaani ile slogani ya Mabadiliko wanaijua vilivyo...wanatamani CCM iondoke madarakani wanamchukia sana mkuu wetu ukisikia wanavyomsema na alivyoshindwa kuhandle nchi hii kimaendeleo...wanasema angekuwa uhuru ndo raisi wa tz miaka miwili tu mambo yangekuwa bye..

Ukiwasikia wanavyoongea utafutahi yaani......

Basi nikawaonyeshea vidole viwili juu wao wakasema lowassa hadi raha...

USHAURI walionipa tusifanye MAKOSA mwaka huu.....

GO GO GO UKAWA NAKUJA KUONGEZA KURA YANGU KICHINJIO NINACHOO........

Peooooooooooopleeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzz!!!!

unatueleza habar za wakenya wanatusaidia nini hata kama wanampenda lowasa, je wanajua kama lowasa ni fisadi
 
Nipo Hapa Nairobi Kenya Siku Ya Tatu Sasa..mda huu nimekaa naongelea nyumbani Tz, Nimekaa na wakenya wawili hapa dah jamani kumbe wakenya wanatujua sana watz na wanampemda kishenzi LOWASSA yaani ile slogani ya Mabadiliko wanaijua vilivyo...wanatamani CCM iondoke madarakani wanamchukia sana mkuu wetu ukisikia wanavyomsema na alivyoshindwa kuhandle nchi hii kimaendeleo...wanasema angekuwa uhuru ndo raisi wa tz miaka miwili tu mambo yangekuwa bye..

Ukiwasikia wanavyoongea utafutahi yaani......

Basi nikawaonyeshea vidole viwili juu wao wakasema lowassa hadi raha...

USHAURI walionipa tusifanye MAKOSA mwaka huu.....

GO GO GO UKAWA NAKUJA KUONGEZA KURA YANGU KICHINJIO NINACHOO........

Peooooooooooopleeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzz!!!!

Kama ulichoandika ni kweli, basi Lowassa hafai kabisa kuwa rais
 
We ndio boya kwani Africa nzima ilivyokua inamshabikia Obama waafrika tilipiga kura???

M'fuvk get ur ass away or get it stuck up!! Obama was first black man to rule America so everyone was proud, since white men used to underestimate blacks!!!! But who is fucking Lowassa?
 
Kwani kuna tatizo ukitukanwa sema utauona ujinga wangu october 25.Hapo ndio utajua.Tunajua mmetumwa kuitetea ccm kwenye mitandao.nakuomba mtazame ndugu yako wa mbali .hiyo pesa unayopata haiwezi kusaidia kila mtu kwenye ukoo wenu.tunahitaji ukombozi wa jumla.
 
Back
Top Bottom