Wakenya waunga mkono MABADILIKO...

Wakenya waunga mkono MABADILIKO...

Pambaf, kumbe hujui kuwa wao wanataka aingie huyo mpiga Dili ili waje wakalie uchumi wetu. Tutachagua Rais wa Tanzania siyo wa Kenya.

wakalie mara ngapi? general tyre mmewauzia na wanamwaga masupamaket tu mijini hapa TZ
 
Ukiona adui anakuchagulia kiongozi ujue hapo kuna wepesi anautafuta.kenya hawapendi maendeleo yetu wanamezea mate ardhi na mbuga zetu na hawatafanikiwa kwa hilo
 
Pambaf, kumbe hujui kuwa wao wanataka aingie huyo mpiga Dili ili waje wakalie uchumi wetu. Tutachagua Rais wa Tanzania siyo wa Kenya.

Hata watz huwa wanafuatilia chaguzi za mataifa mengine. Tulifuatilia uchaguzi wa Kenya,,nasi tulikuwa na ushabiki. Tulifuatilia uchaguzi Marekani, tukawa na tuwashabikiao.

Kufuatilia siasa za nchi jirani au nchi rafiki ni jambo la kawaida. Kuwa mbali na kutojua majirani wanasiasa gani ni kujigeuza ute ndani ya yai.
 
Back
Top Bottom