Unakuan akaunti ya youtube na akaunti ya adsense.
Unaiunganisha akaunti yako ya youtube na ya adsense.
Kisha akaunti yako inakua inawekwa matangazo na google na kadri viewers wanapoongezeka ndivyo unaingiziwa pesa.
Ni stori ndefu na ina masharti na vigezo. Kwa uelewa mpana wa viewers wa wapi watakupa pesa nyingi, lugha, mada na taratibu za kufuata cheki na google.