joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Hili la kuendekeza lugha za makabila katika ofisi na mikutano mbali mbali ya kisiasa, tuliwaonya sana majirani wetu kwamba ni jambo la hatari sana, hasa katika nchi ambayo imekumbwa na ukabila na uhasama miongoni mwa jamii zake.
Kama kawaida ya wakenya kujifanya wajuaji, waliendelea kupinga na kujenga hoja za kitoto kutetea kitendo hicho, tayari yale tuliyowaambia yanaanza kujitokeza, Kenya ukabila hauwezi kupungua, badala yake utazidi kuongezeka.