Wakenya wameanza kufukuzwa kazi JKIA

Bisha kama ni uongo wewe. Hapa tupo kuhabarishana.
acha kuchongoa mdomo sana wakati hapahapa kwetu vijana wanaachishwa kazi na kupewa likizo zisizo na malipo huku mzilankanda kajificha kusiko julikana
2381914_IMG_20200427_173137.jpg
 
haha aisee pole zao mazeee .,hali ni ngumu duniani koteee....wazee wa covid tunaendelea na mafukiziii!!
 
Back
Top Bottom