Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Hivi karibuni nilikuwa huko, nikaambiwa, 'why your president is fighting investors? Is it true he is fighting corruption or he dislikes investors?'

Nikashangaa! Aliyekuwa ananiuliza ni waziri kwenye kikao cha watu 12 ambacho pia alikuwepo mkurugenzi mkuu wa Wizara.
 
nawahurumia hao watoto wa south africa, nchi moja lugha kibao na bado wanataka na kiswahili.
 
Hivi karibuni nilikuwa huko, nikaambiwa, 'why your president is fighting investors? Is it true he is fighting corruption or he dislikes investors?'

Nikashangaa! Aliyekuwa ananiuliza ni waziri kwenye kikao cha watu 12 ambacho pia alikuwepo mkurugenzi mkuu wa Wizara.
Si huwa mnasema magu hafahamiki sababu hatoki!!!
 
Hivi karibuni nilikuwa huko, nikaambiwa, 'why your president is fighting investors? Is it true he is fighting corruption or he dislikes investors?'

Nikashangaa! Aliyekuwa ananiuliza ni waziri kwenye kikao cha watu 12 ambacho pia alikuwepo mkurugenzi mkuu wa Wizara.
Uchumi umekufa kabisa kabisa. No way tukaendelea naye for this 6 years... Membe 2020 ndio mkombozi pekee na tumaini wa kurejesha uchumi katika hali yake
 
Tanzanian teachers to teach Kiswahili in South Africa

THURSDAY MAY 11 2017

In Summary

President Magufuli revealed this during a joint Press Conference with his South African counterpart, Mr Jacob Zuma, at the State House earlier today.

for more info thecitizen.co.ke

The thug Republic of Kunyans just got a little piece of a cake which was presented to them by a Minister, while the much respected nation which is held with the highest regard by all members of SADC region had already secured her huge piece presented to the Republic by the president of Republic of South Africa.

Happy People!
 
Nyie bado mnatumia katiba ya mkoloni ambayo inatambua wilaya na mikoa, sisi tuliandika katiba mpya na kubuni maeneo yanayoitwa gatuzi au kaunti.
Katiba yenu haina utashi wa kubadilisha/kutohoa au kutunga maneno mapya ya lugha ya kiswahili.katika kiswahili zipo taasisi maalumu kwaajili ya kurasimisha maneno ya kiswahili .
 
Katiba yenu haina utashi wa kubadilisha/kutohoa au kutunga maneno mapya ya lugha ya kiswahili.katika kiswahili zipo taasisi maalumu kwaajili ya kurasimisha maneno ya kiswahili .

Katiba haikutohoa wala kutunga neno lolote, nyie shughuli kweli, walimu wenu muwalipe vizuri maana wanapitia hali ngumu.
Ugatuzi ni mfumo ambao unatumika kwenye baadhi ya mataifa duniani.
Halafu mfahamu Kenya tuna taasisi inayoratibu Kiswahili inaitwa WAKITA.
 
Hilo tatizo la L na R ni karibia asilimia 90 ya watz mkuu. Wewe angalia hata hapa JF. watu wanavyopost utaona. Na wakenya wabara mara nying huwa wanakosa misiati/maneno ya baadhi ya maneno ndio maana huwa wanaweka kiingereza wanapokosa msamiati wa neno flani. Ila mistakes za R na L au dhahabu mtu kusema zahabu au thamani mtu kusema samani. Hivyo vitu hawana. Mimi kama mimi ukiniwekea Mtz na mkenya kwenye kiswahili, I will definately pick a Kenyan. Sina unafki hapa naonge ukweli.
Wewe mtanzania?
Ushafika Kenya?
 
Huo ndio ukweli kaka usikatae ukweli. Out of 10 only one anaweza kuongea au kuandika kiswahili fasaha TZ. Advantage ambayo watz wanayo over kenyans kwenye kiswahili is that they can speak very fast. Hilo tu mkuu
Confirmed, una kichaa wewe.
 
Wako poa mkuu. Hapa tupo fluent tu. Sikiliza bongo fleva ni kichefuchefu. Sijui hao maproducer/mameneja wanafanya kazi gani. Hata diamond nyimbo zake anashindwa kutofautusha L na R kwenye nyimbo zake sijui kama umelijua hilo.
Toa mfano wa wimbo aliochanganya L na R.
 
Wewe ndio unaamini hivyo. Wao wanefanya research kabla ya kuiteua kenya. Wakaona Kenya ndio wapo vzr kuliko nchi yoyote. Wew umebakiwa na kusema kiswahili chetu basi wakatu huna unalolijua
Mbona Tz walishapatiwa hiyo opportunity kitambo sana na ikatangazwa, earlier kabis yalipofanyika hayo mabadiliko ya kuweka swahili kwa curriculum yao.
You can even google and see for your mean self.
 
Wakombozi wa Afrika kusini leo wamecatch mafeelings. :D Nashangaa kuona wasukuma na wanyamwezi wakisema kiswahili ni chao wakati watu wa Kismayu, Somalia walianza kuongea kiswahili miaka mingi sana kabla ya mababu zao kujinyunyizia maji bullet proof kwenye vifua vyao.
Tz ilishakubaliana nao kitambo sana, hawa wanolalamika ni hawana taarifa tu.
Usifurahie saana.
 
Mimi sio zuzu maana angalau Kiswahili nakimudu vilivyo hata nikiamshwa usiku wa manane siwezi kukosea sarufi!

Wengi wenu hamjui lugha hasa ya maandishi, japokuwa matamshi nayo ni mabovu lakini angalau mnayaficha kwa kuongea haraka haraka!

Ohh tunataka Kiswahili, ohh sijui mabeberu! Kiswahili chenyewe hamkiwezi!! Mnababaisha tu!
Kwa iyo if u were incharge, what would you do, maana kulaumu ni kazi rahisi sana.
 
Kati ya mkenya na mtanzania ni nani anayeongea kiswahili bora,usishindanisishe kiswahili cha kitanzania na upuuzi wa kikenya ni bahati mmepata tu fursa.
 
Katiba haikutohoa wala kutunga neno lolote, nyie shughuli kweli, walimu wenu muwalipe vizuri maana wanapitia hali ngumu.
Ugatuzi ni mfumo ambao unatumika kwenye baadhi ya mataifa duniani.
Halafu mfahamu Kenya tuna taasisi inayoratibu Kiswahili inaitwa WAKITA.
Unanichanganyia tu habari hapa huna hoja
 
Back
Top Bottom