Wakenya waanza kusalimu amri na kukubaliana na Magufuli, waomba Uhuru Kenyatta kuiga mbinu za Magufuli

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Baada ya mbinu za Kenya za kuiga wazungu bila kutumia akili kama ilivyokawaida yao katika kupambana na kuenea kwa Corona kutofanikiwa, sasa wanaanza kukubaliana na mbinu za Magufuli.

Wakenya hawahawa ambao wameongoza dunia katika kumchafua na kumkejeli Magufuli na Tanzania kwa ujumla kwa kuruhusu maisha yaendelee kama kawaida huku watu wakichukua tahadhari, Leo wamegeuka na kuanza kumsifia na kuomba Kenya kufuata nyayo za Magufuli, hivi wakenya huwa mnatumia akili kweli, au wazungu ndio wameshikia akili zenu?

"TANZANIA ni mfano wa kuigwa katika mapambano dhidi ya Corona"

=====

At this moment we are very sure that even with the stringent measures put in place, the numbers will still rise. Covid-19 has become part of us now. The best thing is to come up with ways of preventing ourselves from contracting the virus wherever we are. We are also supposed to keep on looking for its remedy. Curfews and cessations have not bore any visible fruits yet. The numbers are still rising day in day out.

Magufuli's school of thought says that we need to continue with our daily activities as we check the government's directives. The same school is also keen on following the testing process, and is very alert to listening to what the world is saying. The test kits were termed faulty after several fake samples were deliberately mixed with the real ones through Magufuli's directive. This was a clever move to find out whether the staffs are doing their jobs diligently or whether the kits are faulty.

Magufuli has been listening to what the world is talking about and he was ready to send a cargo plane to Madagascar to fetch the said Covid-19 cure. This is a clever move also, for he will not only help the infected but also the affected in his country. If we take him positively we can find a sense in whatever he is doing.

Cases will still rise but the big question is, "how well are we prepared for the rise?" We are supposed to look for a concrete solution. This has to be done as we progress with our daily lives precautiously. Our government is not able to feed its citizens in case of a lock down. Through the lockdowns and curfews, the ordinary citizens who are the majority suffer.

How can we fight this pandemic without laying down oppressive measures? People are already suffering. With the increase in the number of reported cases, according to the trending measures, there will be stricter restrictions. This will affect the common man a great deal, and emotional violence will be witnessed after some time.

People need the basic needs to survive and with no means to get them it is predictable with certainty that worse will happen. They will try to get the needs forcefully. By use of force to survive, caution will no longer be a necessity and more people will contract the deadly virus. More resources will be required to deal with the cases that will have cropped up.

Our leaders need to open their eyes and follow Magufuli's footsteps.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijali tutawaiga kufurusha wanasayansi
Tunasubiri mtuambie km vifaa ndio vibovu au wanasayansi wenu halafu na sisi tufuate mkumbo..

Tayari tunataka kuanza zoezi la kuzika watu mida ya wanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati "lockdown" Uganda na Rwanda inasaidia kupunguza kuenea kwa maambukizi, Kenya ndio inazidisha kuenea kwa maambukizi, hiyo ndio maana halisi ya "Failed state".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaona Tanzania tunapambana au tumekaa tu tushakubali liwalo na liwe?
Wakenya sio stupid kutaka waige kukaa tu. Naweza sema wanaongoza kwa akili East Africa, sio mazezeta ka sisi
Wanaongoza kwa akili kwa kueneza maambukizi zaidi? Sasa hivi Kenya na Tanzania ndio wanaoeneza virusi kwenda Uganda na Rwanda, jiulize inawezekanaje Kenya ambayo imetumia mbinu sawa na Uganda na Rwanda lakini bado maambukizi yanaongezeka wakati Rwanda na Uganda yanapungua? Tanzania hatujafunga mipaka wala kuweka lockdown, kwa hiyo usijaribu kulinganisha Kenya na Tanzania, linganisha Kenya, Uganda na Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Tanzania akili zetu tunajijua sisi tu, tunasubiri mpaka mtu akohoe aaguke na kufa kwenye umati wa watu na ndo tutajua kwamba corona ipo. Tupigeni kazi
Huko Kenya ndio wanadondoka zaidi ya Tanzania, hafadhali Tanzania tunajaribu kutafuta " balance" kati ya kukinga kuenea kwa virusi, na kuepuka njaa, sasa hawa wakenya wamehamisha nguvu zote katika kupambana na Corona lakini wameshindwa maambukizi yanaongezeka kwa kasi, huku njaa inawakodolea macho, wamekosa kotekote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaongoza kwa akili kwa kueneza maambukizi zaidi?, sasa hivi Kenya na Tanzania ndio wanaoeneza virusi kwenda Uganda na Rwanda, jiulize inawezekanaje Kenya ambayo imetumia mbinu sawa na Uganda na Rwanda lakini bado maambukizi yanaongezeka wakati Rwanda na Uganda yanapungua?. Tanzania hatujafunga mipaka wala kuweka lockdown, kwa hiyo usijaribu kulinganisha Kenya na Tanzania, linganisha Kenya, Uganda na Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Siwezi linganisha KE na TZ hata siku moja hahahaa, TZ hakuna chochote cha kujidai nilinganishe kwa sababu ipi?
Kenya wanapima sana usishangae kuona maambukizi mengi, Rwanda iondoe kabisa maana ni ka sehemu kadogo tu rahisi sana kumanage, huwezi linganisha Rwanda na Kenya wala Uganda. Na Kenya wapo responsible, lockdown yenyewe ilikua partial sio total lockdown kama Uganda. Nchi zote zina tofauti zake kubwa, Kenya wanajitahidi sana kupima ndiyo maana unaona idadi kubwa, tungekua na vifaa kama vya kwao vya kupima watu 5,000 kwa siku ungeona idadi yetu ambavyo ingepanda.
 
Siwezi linganisha KE na TZ hata siku moja hahahaa, TZ hakuna chochote cha kujidai nilinganishe kwa sababu ipi?
Kenya wanapima sana usishangae kuona maambukizi mengi, Rwanda iondoe kabisa maana ni ka sehemu kadogo tu rahisi sana kumanage, huwezi linganisha Rwanda na Kenya wala Uganda. Na Kenya wapo responsible, lockdown yenyewe ilikua partial sio total lockdown kama Uganda. Nchi zote zina tofauti zake kubwa, Kenya wanajitahidi sana kupima ndiyo maana unaona idadi kubwa, tungekua na vifaa kama vya kwao vya kupima watu 5,000 kwa siku ungeona idadi yetu ambavyo ingepanda.
Uganda wanapima zaidi ya Kenya, lakini hawapati watu wenye virusi, Kenya wanapima watu wachache zaidi lakini wanapata watu wengi wenye virusi kuliko Uganda.

Hivi unaona sifa gani kwa Kenya kushindwa kuimarisha njia na mbinu za kuzuia maambukizi yasizidi kuenea, badala yake unafurahia kupima pekee na kushuhudia idadi ya maambukizi ikizidi siku hadi siku?.

"Ultimate goal" ni kuona idadi inapungua siku hadi siku, sio kujua idadi inaongezeka siku hadi siku. Kenya wanachofanya kinawawezesha kujua kwamba idadi ya maambukizi inaongezeka lakini sio kupunguza maambukizi kama Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe,
Wakubali mbinu za watu kufa hovyo?

Sasa hivi niko Kenya - hakuna kitu kama hicho!

Kinachofanyika Tanzania ni sawa na mtu kuziba macho yako usione watu wengine ilihali kiwiliwili chako chote kinaonekana na watu wote.
 
Hawa ni watumwa wa wazungu na wachina.Wanajifanyaga wazungu kumbe ni wakurya na wajaluo Tu....Wenye akili wamemkubali Rais Magufuli sema hii mikenya bado inamchafua but Mungu hadhihakiwi.Mungu ameahidi kila atakaeliitia jina lake ataokolewa.Magufuli alipoitisha maombi WAKENYA wakitukana Sana....Leo hii wanakufa Kwa njaa,mafuriko, nzige, nyoka, Corona ukabila, police brutality, nk.

joto la jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe,
Wakubali mbinu za watu kufa hovyo?

Sasa hivi niko Kenya - hakuna kitu kama hicho!

Kinachofanyika Tanzania ni sawa na mtu kuziba macho yako usione watu wengine ilihali kiwiliwili chako chote kinaonekana na watu wote.
Hakuna kitu kama kipi?, wewe ulitegemea ukiwa Kenya uone maiti zimezagaa barabarani?, sisi tupo Tanzania mbona hatujaona hata maiti moja zaidi ya habari za kwenye mitandao. Sikiliza wakenya wenyewe wanavyosema kuhusu nchi yao inavyopambana na Corona.
https://www.operanewsapp.com/tz/en/...e63e412-f9fb-4125-8ca1-170af5ac2a6c&from=news


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom