Wakenya Wa Kiasia Wakimbilia Bongo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya Wa Kiasia Wakimbilia Bongo!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steve Dii, Dec 27, 2007.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama ilivyo kawaida ya chaguzi kuu, na huu wa majirani zetu Kenya unazidi kuzua mambo:

  Source link: Ipp Media.

  Swali:
  --Je, huu ni wakati mzuri wa kuhoji uzalendo wao, au wamefanya jambo la maana?


  SteveD.
   
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mmh sijui nisemeje?

  lkn hali ni ngumu unajua ss waafrika tunawahesabu hawa si kwao.

  na mara nyingi likitokea la kutokea wao huwa muhang.

  sasa ndege mwoga hukimbiza ubawa wake
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wahindi na uzalendo????? Wapi umeona- siku zote passport mbili mkononi!
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Hao ni Mercenaries hawana upendo kwa Kenya wala kwa Tanzania, wao wanapenda hela tu. Hii ingekuwa opportunity nzuri sana kwa watanzania kuwakamua hela zao. Kwa hiyo hakuna sababu ya kuwaita wakenya, waitwe wahindi tu. Tanzania ndio hao hao wanaoitwa Vithlan, Manji, Somaia wanapassports mbilimbli au tatu tatu, tunapokuwa kwenye wakati mgumu wanakimbia tunapokuwa kwenye hali nzuri ndio wanakuja kutukamua.
   
 5. C

  Chingwanji Member

  #5
  Dec 27, 2007
  Joined: Oct 18, 2006
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo wanakimbia hivi hawajashiriki hata kidogo kutoa michango kwa serikali ili baki madarakani huko Kenya wapete kama tunavyo ona akina Manji na wenzake wanafanya hapo Tanzania ?
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,497
  Likes Received: 81,828
  Trophy Points: 280
  Ndio zao hao na Wahindi wa Bongo nao pia hukimbilia nchi mbali mbali wakati wa uchaguzi wetu na hubeba mamilioni ya fedha za kigeni.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Dec 27, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  EVANCE NG'INGO
  Daily News; Thursday,December 27, 2007 @20:02  THE Immigration Department has refuted reports that thousands of Kenyans of Asian origin were flocking into Tanzania following fears of possible violence during the general elections. The Arusha Regional Immigration Officer Justine Kagitumila told the 'Daily News' that most of those who had come to Tanzania were tourists.

  He said statistics show that the number of Kenyans of Asian origin visiting Tanzania was much less than in previous years. He pointed out that there were thousands who had Tanzanian passports who had come home for the festive season.

  Mr Kagitumila explained that since schools had been closed there were thousands of students studying in Kenya who were returning home for holidays. Recent press reports have claimed that some of the Kenyans of Asian origin had crossed into Tanzania, following possible fears of violence as aftermath of the general elections which were held today.


  Some of them were quoted as saying that thousands of others had travelled to Uganda and Rwanda following similar fears. Several policemen have been killed in the Kenyan province of Nyanza, bordering Lake Victoria on allegations that they had been sent to rig elections in the area, a stronghold of opposition leader Raila Odinga.
   
 8. K

  Koba JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ...as if wewe kama vile ndio hupendi pesa na kujifanya mzalendo number moja kumbe chuki zako tuu juu ya wahindi,who cares kama wanapenda nchi au hawapendi as long wanafuata sheria za nchi na kulipa kodi its all good,na kama huna uwezo wa kukimbia vurugu acha wenye uwezo wakimbie au unafikiri kukaa nyuma na kusubiri ndio uzalendo,acha ubaguzi wewe na chuki zisizo na maana!
   
 9. P

  Pedro Senior Member

  #9
  Dec 28, 2007
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 114
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wahindi bwana mwisho! laiti wabongo tungekuwa tuna-take opportunities kama wao tungefika mbali. (hapa sifagilii mtu kuikimbia nchi ikiwa mashakani, lakini kumbuka enzi zile Mtikila alivyoleta zake, wewe ungekuwa mhindi si ungejichimbia kwanza?)

  South africa siku hizi wao wanakwambia sisi ni watu weusi na tulibaguliwa enzi za apartheid kwa hiyo zile sera mpya za south za kuwa-favour watu weusi na wao wanazi-enjoy vilevile.

  Sasa sisi wabongo hapahapa kwetu badala ya kuhakikisha tunaweka sera za kuwa-favour watanzania tunaweka sera za kuwa-favour wawekezaji toka nje.

  Kule India kuna kitu kinaitwa NRI (Non resident Indian) yaani mtu akiwa na wazazi au mababu waliotoka India hata kama hajawahi kufika huko, siku akiingia na kwenda ku-apply anapewa hiyo status na ataweza kuingia na kutoka anavyotaka na kupata haki zote kama mhindi asilia na fovours kibao za kumuwezesha ku-invest. Sasa sisi kwa sababu sio "ma-opportunists" kama wahindi na hatupendi kuzikumbatia sera za kutunufaisha, basi mbongo akija na uraia wa nje tunamwambia wewe msaliti na mikwara kibao.
   
 10. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2007
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280

  Mheshimiwa hapa naona umeteleza kidogo kama unamaanisha kwamba NRI ni kwa ajili ya kupata ukaazi wa kudumu na kufanya unavotaka.

  NRI ni kwa ajili ya masuala ya kodi nchini humo na katika link ifuatayo soma na utaelewa kuhusu jambo hili, please.

  http://www.vakilno1.com/nri/taxation/definitions.htm

  Masuala ya kuangalia wahindi wamefanza nini au wanafanza nini kwa sasa mambo ni akili kichwani.

  Huku ng'ambo kuna wahindi kibao na sehemu zingine za ughaibuni ambao wamezaliwa kuanzia Jinja,Kisumu mtaa wa Kisutu pale Dar-es-Salaam na kadhalika.

  Wahindi hawa wana-make kwa kuanzia na viduka vidogo (tunaita Cornershops) na humohumo wanalala kwa vitanda vile vya "double decker" vile vya 3*4 na wananyanyuana kishenzi kimaisha, je watanzania ni wangapi tumekuwa hivo tokea mwaka 1961 si tungekuwa mbali?

  Kinachoangaliwa ni namna gani mtu unatumia bongo kutanzua mambo.

  Tuachane na mawazo ya kutaka kulaumu kila kitu hata kama na sisi tumepewa nafasi ya kuwa huru tokea mwaka 1961!
   
Loading...