Wakenya tushukuru Mungu kwa demokrasia yetu, watani wetu wamebanwa hadi wanalia toshaaa, wanakiri kwamba nchi yao sasa imekuwa 'Police State'

Bofya kwenye hiyo link hapo juu kwanza, kisha soma taarifa kwa umakini. Alafu ndio urejee upya, naona ni kama unaongea kuhusu masuala tofauti na yanayojadiliwa hapa.
Ndio na sema hao wapinzani na wanaharakati uchwara idadi yao yote ni chini ya 5000..karibu wabunge wapinzani 50% washahama na kuja sisiemu kwa hiari yao..Juzi tu kiongozi wao na chaguo lao la rais pia kahama kwenda ccm..
Unaongelea watu wachache sana hata 1% ya 55mln haifiki..hawa hawafai kupewa fursa ya kuharibia 55mln maendeleo na utawala bora wa Jpm
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Itakuwa labda hujui chochote kuhusu siasa za Kenya. Kuna hadi wapinzani ndani ya chama tawala, ambao hawakomi kumkashifu rais kwa lolote afanyalo na wala hawatishiki. Tena kwenye upinzani, ambao ulikuwa ni muungano wa vyama, kuna vyama ambavyo havikumfata Raila na ile handshake yake na rais U.K. Watu kama Musalia Mudavadi na Moses Wetangula. Upinzani Kenya bado upo imara na zaidi ya yote hawakandamizwi na yeyote yule.
hwa jamaa hawaelewi km pia kwenye chama tawala kuna wapinzani..yani hku kwetu unaenda na akili zako mwenywe...ukiona katiba hairuhusu unapinga..ikiwa kama inaruhusu unaunga...hta km uko chama cha utawala..hamna cha kuogopana...

byda kuwa mbunge tanzania ni rahisi kweli..wewe ukijua kusoma na kuandika tayari unagombania...bwahahaaaa
 
Itakuwa labda hujui chochote kuhusu siasa za Kenya. Kuna hadi wapinzani ndani ya chama tawala, ambao hawakomi kumkashifu rais kwa lolote afanyalo na wala hawatishiki. Tena kwenye upinzani, ambao ulikuwa ni muungano wa vyama, kuna vyama ambavyo havikumfata Raila na ile handshake yake na rais U.K. Watu kama Musalia Mudavadi na Moses Wetangula. Upinzani Kenya bado upo imara na zaidi ya yote hawakandamizwi na yeyote yule.
So two dynastes can decide we do hand shake,referendum etc.... and every body follows despite of having beautiful new constitution that was obtained forcefully through blood.Just admit that your 2 bosses are determinants of Kenya politics bro.DYNAST RULES oyeeeee!!!!!!?
 
Ndio na sema hao wapinzani na wanaharakati uchwara idadi yao yote ni chini ya 5000..karibu wabunge wapinzani 50% washahama na kuja sisiemu kwa hiari yao..Juzi tu kiongozi wao na chaguo lao la rais pia kahama kwenda ccm..
Unaongelea watu wachache sana hata 1% ya 55mln haifiki..hawa hawafai kupewa fursa ya kuharibia 55mln maendeleo na utawala bora wa Jpm
Utawala bora huwa hauna la kuficha wala kuogopa, iwe ni kutoka kwa wengi au walio wachache, hata iwe mtu mmoja. Ningependa uje na takwimu za kueleweka kama ushahidi kwamba wapinzani Tz sio zaidi ya 5,000. Maanake nadhani unaongea kuhusu Tz nyingine na sio hii ambayo wengine wetu tunaifahamu vizuri.
 
Itakuwa labda hujui chochote kuhusu siasa za Kenya. Kuna hadi wapinzani ndani ya chama tawala, ambao hawakomi kumkashifu rais kwa lolote afanyalo na wala hawatishiki. Tena kwenye upinzani, ambao ulikuwa ni muungano wa vyama, kuna vyama ambavyo havikumfata Raila na ile handshake yake na rais U.K. Watu kama Musalia Mudavadi na Moses Wetangula. Upinzani Kenya bado upo imara na zaidi ya yote hawakandamizwi na yeyote yule.
Acha uongo Mudavadi and Wetangala are both practically in the deal.Follow their statements boss
 
So two dynastes can decide we do hand shake,referendum etc.... and every body follows despite of having beautiful new constitution that was obtained forcefully through blood.Just admit that your 2 bosses are determinants of Kenya politics bro.DYNAST RULES oyeeeee!!!!!!?
Rais Uhuru Kenyatta anaheshimu katiba, Raila Odinga pia anaheshimu katiba. Nyinyi mmetawalwa na chama kimoja cha sisiemu tangu mpate uhuru. Mbona wao hawana upendo wa kuandika katiba mpya au kuiheshimu na kuilinda katiba ya sasa?
 
Hii nayo ni hatari, Civil Society Organisations Director's Forum ambayo ni mkusanyiko wa mashirika 65 ya kitanzania ya haki za kibinadamu na kidemokrasia limeamua kupaza sauti liwe liwalo. Wanalalamika na kulilia dunia kwa kile ambacho wanakiita 'Police State' ambayo mzee mtakatifu kule ikulu ameibuka nayo kwa kukandamiza kabisa upinzani, wanahabari na uhuru wa wananchi wake. Wanasema kwa mwendo huu wa kuminya demokrasia na uhuru wa wapinzani kuwa na vikao vyao, amani ya nchi inavurugwa huku katiba ikinajisiwa na viongozi wanaotawala. Matokeo yake ni wananchi wanaoishi kwa uoga na kujihisi kwamba hawapo huru kwenye nchi yao. Wameangazia sanasana kutupwa selo kwa miezi mitatu kwa kiongozi mmoja wa upinzani, Mr. Freeman Mbowe. Kunani watani wetu watanzania? Mnanikumbusha enzi za Nyayo Kenya. Mbona mmebadilika kiasi hiki? Tuliwajua kwa ustaarabu wenu ila sasa sivyo tena. https://www.africanews.com/2019/04/...n-groups-risks-undermining-peace-in-tanzania/
Sio sisi nni mabeberu na mafisadi na wapiga dili ndio wameibana demokrasia yetu..in jiwe's voice

Majirani hebu tupen Uhuru Kenyatta japo for six months na sisi tuwape jiwe angalau tutapumua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo Mudavadi and Wetangala are both practically in the deal.Follow their statements boss
Mudavadi anamkashifu rais kila uchao na wala hajatupwa selo kama mwenzake Mbowe. Madvd hadi huwa anasema kwamba handshake ya rais U.K. na Raila haina tija na imepitwa na wakati!
 
Tuna matitizo yetu ila kwa miaka miwili sasa tumeona mambo yakibadilika na siasa za chuki zikitupiliwa mbali. Wapinzani na wenzao serikalini wanaonana macho kwa macho na kuketi kwenye vikao pamoja hata nje ya bunge. Ushabik wa vyama vya kisiasa nao, kwenye masuala muhimu ya nchi, haupo tena. Ustaarabu umeshamiri na ubaguzi wa aina yoyote ule umefifia.

Ahaaa haaa haaa
Subiri 2022.
 
Rais Uhuru Kenyatta anaheshimu katiba, Raila Odinga pia anaheshimu katiba. Nyinyi mmetawalwa na chama kimoja cha sisiemu tangu mpate uhuru. Mbona wao hawana upendo wa kuandika katiba mpya au kuiheshimu na kuilinda katiba ya sasa?
Huwezi tamka katiba bila Raila,kama kuna political torelance why yale mauaji ya watu kwenye maandamano wakati baba anarudi kenya toka ziarani
 
Boss umebofya hiyo link hapo na ukasoma taarifa yenyewe? Au umetangulia tu kutupia comment ya kishabik? Hii ni sifa mbaya sana kwa nchi yenu. Wakenya tumeishi kwenye hali kama hiyo ya 'police state' chini ya utawala wa rais mstaafu Daniel Arap Moi, almaarufu Nyayo. Usitamani kuyaona yale ambayo sisi tuliyashuhudia. Wazazi wetu wakivamiwa usiku wa manane na kuzabwa makofi, huku wakinyanyuliwa juu kwa juu na kutupwa kwenye landcruiser na kutawacha tukijiuliza kama ndio itakuwa siku yetu ya mwisho ya kuwaona kwa macho yetu mawili.
Link iko wapi? What are u smoking bro?

Sent using my Nokia Torch
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom