Ila ole wako uzungumzie kivuko kwa kwenda Ununio, hapa watazaa na wewe. Ogopa kama ukoma watu wanaopenda kusifiwa tu na sio kukosolewa. Ogopa kweli kweli.Tatizo jamii forum inaangaliwa kwenye makosa tu hawaoni faida zake ,mfano ishu ya yule Binti wa Raila Odinga aliyesema Oldupai Gorge ipo Kenya kwa umoja wetu tulipinga upotoshaji ule wa wazi
Au ishu ya Museveni kutaka kutumia bandari yetu ya Tanga ,ninyi Wakenya mkafanya lobbying zenu na propaganda kibao mpaka kumuingiza sijui kiongozi gani kwenye Chopa ambaye hakuwepo kwenye manifest kutembelea bandari ya Tanga ila kwa umoja wetu tulitetea hilo na maafisa uhamiaji walimzuia
Ukiacha na mitambo ya hapa na pale sisi na Wakenya ni ndugu
Wakifunga forum hii sijui ni nini kitatuleta pamoja
tunambiwa maombi bado upo kwa ligiTatizo jamii forum inaangaliwa kwenye makosa tu hawaoni faida zake ,mfano ishu ya yule Binti wa Raila Odinga aliyesema Oldupai Gorge ipo Kenya kwa umoja wetu tulipinga upotoshaji ule wa wazi
Au ishu ya Museveni kutaka kutumia bandari yetu ya Tanga ,ninyi Wakenya mkafanya lobbying zenu na propaganda kibao mpaka kumuingiza sijui kiongozi gani kwenye Chopa ambaye hakuwepo kwenye manifest kutembelea bandari ya Tanga ila kwa umoja wetu tulitetea hilo na maafisa uhamiaji walimzuia
Ukiacha na mitambo ya hapa na pale sisi na Wakenya ni ndugu
Wakifunga forum hii sijui ni nini kitatuleta pamoja
MK254 katika ubora wako! Tusisahau pia misa ya kumuombea marehemu Jacob Juma.