Wakenya... This is too much

Pale chumvi inapokutana na mkaa.. wakati wao washapanga kukuchezea....!
 
Uzi wa kipuzi Na uchochezi. Hivi ni wakenya waliondika kuwa jamaa ni Mkenya? Mbona Hilo jina Mandla ni kama la South Africa? Sisi huku huyo Hassan Ali hatuna habari naye? Ni nani?
 
Uzi wa kipuzi Na uchochezi. Hivi ni wakenya waliondika kuwa jamaa ni Mkenya? Mbona Hilo jina Mandla ni kama la South Africa? Sisi huku huyo Hassan Ali hatuna habari naye? Ni nani?
Lakini mkuu nyie si mnajitapa English inapanda sana. Sasa hiyo hashtag ya #ProudKE maana yake nini kwenye hiyo post?!
 
Tatizo iko wapi? Afrika moja.Vijinchi vyetu inconvenient colonial demarcation.
 
Lakini mkuu nyie si mnajitapa English inapanda sana. Sasa hiyo hashtag ya #ProudKE maana yake nini kwenye hiyo post?!
Mkuu hatuna eneo bunge liitwalo Diani huku kwetu. Nina mashaka na huyo mwenye post ajiitaye Mandla, asije kuwa ni mTZ kaja na post ya kuchochea. Mtu yeyoye anaez tumia hashtag ya #ProudKE.
 
So alichokifanya huyo mmoja kwa nini useme ni Wakenya? Mtanzania mmoja akiandika kitu hapa JF utaweza kuwa judge Watanzania wote kwa alichokiandika huyo mmoja?
Generalization is commonly used in most cases....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…