Katika majirani wanafiki tulio nao, Kenya wanaongoza. Wana wivu sana na amani yetu, utulivu wetu na umoja wetu. Mara kwa mara wamekuwa wakiandika habari hasi kwa lengo la kutuchafua, ni wakati sasa serikali ifanye maamuzi magumu iwarudishe wakenya wote kwao hasa wale wanaofanya kazi hapa Tanzania ili wakome na unafiki wao.
Iv kumbe tz kunaaman!!!?

unafiki upi unaozungumzia?
Halafu suala la wakenya warudi kwao haliwezekani kwa maana watanzania wengi ni wavivu. hawawezi kufanya kazi hivyo zinafanywa na wakenya.
Kweli kabisa wakenya ni watu wenye wivu roho mbaya na wabinafsi sana alafu wanajifanyaga wanajua sana kumbe wapi!!!!
Mtanzania mmoja mwenye akili alifungua ksmpuni ya ushauri na mimi akanipa kazi. Mkenya naye akaungana nasi. Tulipata miradi kibao na biashara ikakua. Mwenzetu kujikomba kwa wadhitiri wetu.
Ndugu zangu sinikashangaa tunafanya kazi bils malipo. Kumuuliza mwenzangu akaniambia Mkenya kabadilisha saini benki.
Akawa jeuri na kututishia maisha kimsingi Mkenya alitaka kumtoa roho bosi wangu. Na kampuni ikafia hapo nikakimbia mjini kuhofia huyu jamaa.
Nilichojifunza:-
1. Tanzania tunakumbatia wageni
2. Wakenya jasiri kuliko sisi hata kutoa roho
3. Hawana ndugu maisha yao ni kazi
4. Kwao fursa hakuna bongo fursa nyingi kwa nini ufe wakati nchi kubwa na watu wema.
5. Wako tayari kujihatarisha ili kupata pesa.
Onyo:
Acha kuingia ubia na mkenya utapotezwa wewe.
Hivi Kenya ukiondoa wasomali, kuna mwenyeji mweupe kweli!!!!! Majibu mnayo ;-) nahisi na roho zao ni black