baba Moses
Senior Member
- Dec 7, 2017
- 100
- 80
The XYZ show ndio best comedy show AfricaKuna chengine chaitwa XYZ cha bwana gado.kiko youtube skuizi.kiko vizuri
Mbona una mwaga kila mwezi? Kipi cha ajabu?Subiri tar 24 tukishamwaga damu, miaka ijayo tutakuwa kama wakenya
Imenibidi kucheka tu kwenye hii commentUtasikia siasa haikwepeki. Utadhani ni bomu la Nyuklia
Ndo majibu ya wengi umu JfImenibidi kucheka tu kwenye hii comment