Wakenya na hisa za crdb


Basi labda inategemea na tawi lako. Mimi nina akaunti yangu pale Holland House sijawahi pata shida ya bank statement. Unaweka oda leo kesho inaichukua. Vilevile kwa upande teknolojia wanajitahidi ukilinganisha na NMB etc ingawa bado inahitaji kuimprove zaidi. Kwa upande wa makato kwa kweli ni wenyewe mpaka wakati mwingine unaweza kuchukia.
 

Ndugu yangu usisahau pia kuwa CRDB inaongozwa na wa-Danish Kimei akiwa MD. Kuna mwaka walitaka kuondoka Kimei akataka kulia na kuwaomba wasiondoke. Likewise NMB inaongozwa na Waholanzi. Kwahiyo unapoona maendeleo hayo ya CRDB fahamu kuwa kuna nguvu kubwa ya Wa-Danish nyuma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…