I know the Bank very well.Please dont waste your cash.
Technology has not reached there yet.Statements are sent after 3 months & the type of paper used?? Oh my my!! you know the one that used to wrap meat in the 90"s.I mean the papers with green strips.
E-Banking is a vocaburary to them.They should first embrase the current technology before going public!!! CMA of Tz should not allow them!!
Katika pita pita zangu kwenye mtandao nikakutana na forum hii stockskenya.com :: discussion forum on the kenyan stock market ambapo wenzetu wa Kenya wanafukuzia kununua hisa za CRDB but kilichoniumiza ni jinsi wanavyoilinganisha CDRB na Ukulima Saccos ya Kenya. Je kuna haja ya kuwa na Jumuia ya Afrika Mashariki?
Duh....angalia hizi comments za mmoja wa wana forum kwenye hiyo link
kimei ni genious ....amefanya kazi kubwa crdb .....lakini sasa amefikia kikomo cha akili..kwa nia njema angetafutiwa role kubwa zaidi ...ie hata shirika kama la reli ..tusingeuza tungepata wazawa kama kimei wa rescue....
Tazama kimei amelitoa crdb ..kutoka benki iliyokuwa motuary hadi kuwa benki ya pili kwa ukubwa tanzania..baada ya nmb ambayo ipo heavyily funded na serikali.....
Its time sasa kimei apewe golden hand shake ....apelekwa kwenye kampuni nyingine aiokoe...unajuwa watu wenye akili ..kufanya kitu kimoja muda mrefu wanakuwa bored ....na huanza they tend to stop concentrating ....on doing same thing everyday...that is a principle of managerial behavior....job changes helps to releave that tendency!!!
Watanzania we dont like to expose abled personalities to challanges they deserve and get full results out of them...
Crdb needs a new young ceo,,,now!!!!!! Kwa watu wa age ya kimei akiletwa pale hatafikia hata robo ya perfomance ya kimei....we need a new ceo under 36 years of age ... And must be a finace genious .....pale bot ,crdb na nmb ....kuna vijana wengi tu wazuri wanaweza kuendeleza alipoishia kimei...
Tuwapore trl wahindi tumpe kimei....na bandari tumpe .dau....muone hawa wazee vijana wanavyofanya kazi!!!!
Nguvu ya Soko ndugu yangu!
Wakenya watanunua tu: sasa kama Watz hatuna mitaji- tutafanyaje?
CRDB ni benki nzuri, sema wanajisahau ktk huduma saa ingine!
kimei ni genious ....amefanya kazi kubwa crdb .....lakini sasa amefikia kikomo cha akili..kwa nia njema angetafutiwa role kubwa zaidi ...ie hata shirika kama la reli ..tusingeuza tungepata wazawa kama kimei wa rescue....
Tazama kimei amelitoa crdb ..kutoka benki iliyokuwa motuary hadi kuwa benki ya pili kwa ukubwa tanzania..baada ya nmb ambayo ipo heavyily funded na serikali.....
Its time sasa kimei apewe golden hand shake ....apelekwa kwenye kampuni nyingine aiokoe...unajuwa watu wenye akili ..kufanya kitu kimoja muda mrefu wanakuwa bored ....na huanza they tend to stop concentrating ....on doing same thing everyday...that is a principle of managerial behavior....job changes helps to releave that tendency!!!
Watanzania we dont like to expose abled personalities to challanges they deserve and get full results out of them...
Crdb needs a new young ceo,,,now!!!!!! Kwa watu wa age ya kimei akiletwa pale hatafikia hata robo ya perfomance ya kimei....we need a new ceo under 36 years of age ... And must be a finace genious .....pale bot ,crdb na nmb ....kuna vijana wengi tu wazuri wanaweza kuendeleza alipoishia kimei...
Tuwapore trl wahindi tumpe kimei....na bandari tumpe .dau....muone hawa wazee vijana wanavyofanya kazi!!!!
1. Nipo NBC na CRDB pia! Ila ukilinganisha huduma: bado naona CRDB ni bora zaidi!
Ni kweli lakini wanaweza kufanya vizuri zaidi, labda ndio maana wanataka kuongeza mtaji ili waboreshe zaidi huduma, ngoja tuwaangalie.
2. hivi Kimei huteuliwa na nani? na tenure ni mda gani? Kweli PM mtu akiwa mahali mda mrefu sana huwa anajisahau! Ingibidi say baada ya 10 years basi apwelekwe pengine hata ADB au EDB! Au afufue Benki ndogo ndogo za serikali!
Kimsingi wakenya hawaruhusiwi kisheria kununua hisa za CRDB kwa sasa ninavyojua mimi.
Watz hatuna mitaji? Kweli hiyo? Unakumbuka NMB ilivyokuwa over-subscribed wakati wa IPO yake? Au ile haikuwa mitaji ya watz mkuu?
Wakenya wanaruhusiwa kununua hisa hapa Tz?
wakenya wanaruhusiwa kununua hisa hapa tz?
tunataka jibu hapa, kwani walibana wakati walipouza shares za safaricom