PreGE2025 Wakenya, akiwemo Mke wa Boniface Mwangi, waandamana mbele ya Ubalozi wa Tanzania wakishinikiza Serikali ya Tanzania imuachie huru

PreGE2025 Wakenya, akiwemo Mke wa Boniface Mwangi, waandamana mbele ya Ubalozi wa Tanzania wakishinikiza Serikali ya Tanzania imuachie huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Baadhi ya Wakenya, akiwemo Mke wa Boniface Mwangi wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania nchi humo, huku wakiwa na Bendera ya Tanzania, Uganda na Kenya wakishinikiza Serikali ya Tanzania kwa kuimba ili imuachie huru Boniface Mwangi. Katika video hii anaonekana Mke wa Boniface Mwangi akilia kwa uchungu.

Mwabukusi.PNG
Pia, Soma
 
Fedha za kufadhili ushoga ndio zinatumika
 
Chuki zenu kwa Tanzania ya sasa imewafanya hadi muusahau pia na Uzalendo wenu kwa kuwasifia hawa Wapumbavu wa Kenya.
Boniface Mwangi hajafikishwa mahakamani wala Serikali haijasema kwanini inamshikilia, wewe unaona ni poa ? Kweli watu wamekuwa na upofu wa kutetea ukiukaji wa sheria namna hiyo.
Yaani wewe umeenda Kenya alafu umekamatwa upo ndani hakuna taarifa yoyote alafu sisi tukae kimya utatuelewa kweli.
Bro be realistic
 
Anaewakejeli hao wakenya ni masaburi!
 
Baadhi ya Wakenya wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania nchi humo, huku wakiwa na Bendera ya Tanzania, Uganda na Kenya wakishinikiza Serikali ya Tanzania kwa kuimba ili imuachie huru Boniface Mwangi. Katika video hii anaonekana Mke wa Boniface Mwangi akilia kwa uchungu.

Ingekuwa Bongo, Afande Muliro angeshatuma police wake kuanzisha fujo na vurugu kubwa huku akivunja mikono na miguu kila mwandamanaji...

Halafu baadaye anaitisha Press Conference na kukana kusema hao hawakuwa Polisi...😄😄😄
 
Back
Top Bottom