katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Kweli kabisaWake wadogo wengi wanakuwaga ni wadogo kiumri hivyo kumvutia mwanaume,
Mara nyingi wake wadogo hukuta mwanaume akiwa vizuri kiuchumi hivyo hutumia mali kujipamba na kujipendezesha
Haipendezi lakini bi wakubwa kunyanyasika sababu yenu
Nimeona tu nipose hili tulijadiliUnataka kuolewa au
Kweli eh so mke mkubwa ndio kashikilia mpini?Mkishakuwa wawili hakikisha unabadili gia angani kwa kuongeza nakshi penzi lenu, hata uwe ww ndo mke mkubwa am sure priority itakuwa kwako.
Nimeona tu nipose hili tulijadili
Mmh unamambooMaisha Kibindankoi bila kudinda hukojoi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Kipya kinyemi... ........
Woi jpangeeHii inatokana na mke mkubwa kuhamishia mapenzi kwa watoto....na sisi me tunapenda kudeka na kudekezwa
Maisha matamu sana tukiwa na nyieWoi jpangee
Wewe nitafuteNilivyoona tu heading, nikajua lazima atakua katoto kazuri.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Koma naomba usiniandameMaisha matamu sana tukiwa na nyie
Wewe ni mke mkubwa au mdogo?wake wakubwa wanajisahau kutimiza wajibu wao. Wake wakubwa wakifanya yote anayofanya mke mdogo mke mdogo anakufa njaa.