Ilikuwa zamani lakini sikuhizi kuachana ni chap...dk yaanMna hangaika tu kutoa ushaurii kwa watu wanaolalagaa uchi tena zaidi ya miaka 2
Kama ni ndoa tena ndoa halali tena ya kanisani hayo maneno unayoyaongea unajifurahisha labda kama kupitia kuyaongea ndio unajihisi mwepesi
Unafikiri kuvunja ndoa ni kama kuvunja uchumba eeeh
Wewe hapo subiri hasira ziishe akupigie simu muyamalize
Lakini kama hamjafunga ndoa madhabahuni tutaamini haya unayotuambia kwamba unamuachaa
Ndoa si kama karatasi ukijisikia unaichana tu
Ce n'est Homme pas GentilWe ni msenge, unapiga mwanamke ili iweje fala kabisa we
Ndugu yangu..... Hivi unaishi na mwanamke au ndio mbususu unaiita ukiihitaji na inaondoka tena ?Kwani kuna shida gani katika majibizano na Mkeo ndani ya nyumba ukampa ushindi yeye ili kuacha amani itamalaki
Umemkanda? ooh mkuu taratibu utaenda jera kwa kuua tafadhariNimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.
Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Siku hizi watu wanapewa talaka honeymoonMna hangaika tu kutoa ushaurii kwa watu wanaolalagaa uchi tena zaidi ya miaka 2
Kama ni ndoa tena ndoa halali tena ya kanisani hayo maneno unayoyaongea unajifurahisha labda kama kupitia kuyaongea ndio unajihisi mwepesi
Unafikiri kuvunja ndoa ni kama kuvunja uchumba eeeh
Wewe hapo subiri hasira ziishe akupigie simu muyamalize
Lakini kama hamjafunga ndoa madhabahuni tutaamini haya unayotuambia kwamba unamuachaa
Ndoa si kama karatasi ukijisikia unaichana tu
🤣🤣🤣Siku hizi watu wanapewa talaka honeymoon
Mmh labda kama hamkupendanaIlikuwa zamani lakini sikuhizi kuachana ni chap...dk yaan
Kaingie ndani kwa ndoa ya kanisani kalete dharau na kiburi ukitegemea hamuachani...utapata aibu cute
Mapenzi gani ya kupigana ukimuharibu je, nani atamtaka tenaHapana hayo ndiyo mapenzi menyewe
Tobaaaaaa😂😂😂😭Siku hizi watu wanapewa talaka honeymoon
Nina uzoefu na hao watu Mkuu, nimeoa na nina familia kabisa.Ndugu yangu..... Hivi unaishi na mwanamke au ndio mbususu unaiita ukiihitaji na inaondoka tena ?
Hivi unajua wanawake hamna ugomvi atakaokuachia ushinde ndani ya nyumba bila ya kuwa na mipaka
Isije kuwa tunaongea hapa afu reference kubwa ya mwanamke ambaye umeishi naye ni Mama Yako na Dada Zako ambao huwezi kuwahesabu kwenye huu mjadala
wa kumtaka hawakosekani.njoo basi nikuoe.sitakupigaMapenzi gani ya kupigana ukimuharibu je, nani atamtaka tena
Umeongea maneno mazuri mno sijui huyu mwajuma nimwambie kuwa jioni nitamuoa dah 🤔Kila kitu kinakuwa na kiasi
Hata hivyo haitaondoa uanaume wangu nikijishusha Kwa muda ili jambo fulani baya lipite
Waswahili wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja!
Ila katika mahusiano yetu na Bibi yenu, kila unapotokea ugomvi baina yetu
Huwa ni alert kwangu kwamba she real wants my dick, wakati mwingine hutokea hujamchapa nao kwa muda hivyo nyege humfanya ahisi hasira muda wote
Ukishampa anachokitaka, basi amani automatic inakuwa imerejea ndani
Ndiyo maana wahenga waliwahi kusema, nyumba yenye amani ni ile ambayo Baba na Mama wanalala uchi kwenye Kitanda kimoja
Wanaume tupunguze ubusy na tutimize wajibu wetu
Wewe ni mwanaume DHAIFU na unatuaibisha wanaume wenzakoNimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.
Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Akhuuu sitaki😁😁😁wa kumtaka hawakosekani.njoo basi nikuoe.sitakupiga
Mshkaji hapo katumia mbinu mbadala, inaitwa kipigoInapotokea anavuka mikapa uliyomwekea lazima utafute namna ya kumfanya ajue amekosea.
hakikia unakuja na update ya hii kitu baada ya wiki 3-5 hapo. maana naona wote mmefanya maamuzi mkiongozwa na hasira. naweza sema hakuna aliye serious, msiwachoshe watu.Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.
Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Baki single tuu huko kwenye ndoa unataka kugundua nini? Maudhi ni mengi kuliko yanayoleta furahaShindwa pepo, shindwa shetani
Changa Karata zako vizuri, usije kutamani wake zetu warembo tu iwapo utashindwa kuchagua wako vizuri 😜Umeongea maneno mazuri mno sijui huyu mwajuma nimwambie kuwa jioni nitamuoa dah 🤔
Inapotokea amevuka mipaka, Sisi Wanaume wa Kiafrika hutumia kipigo kumnyooshaMshkaji hapo katumia mbinu mbadala, inaitwa kipigo
Jiulize kaambiwa nini mpaka kafanya hivyo