Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 844
- 2,184
Usimpige. Mwache tu aondoke kwa amani mkuu 🙏🏿Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Kabisa mkuu. Alikuwa ananichukulia poa kila siku .Akienda aende na asirudi. Mwanamke ukimuendekeza anakugeuza msukule wake.
Alikusoma akakujua ndio maana akawa anakuchukulia poa.Kabisa mkuu. Alikuwa ananichukulia poa kila siku .
Mkuu, jibu alilonipatia nikajikuta nishapiga mtama na ngumi juu. Nilishindwa kabisa ku' control hasira zangu.Kwanini unapiga mwanamke bro unachotakiwa kufanya nikufukuza na usikubali arudi akae kwanza kwao miezi isiyopungua 6 akajifunze huko.
Kipigo waachie wazazi wake
Mnawatoto?Mkuu, jibu alilonipatia nikajikuta nishapiga mtama na ngumi juu. Nilishindwa kabisa ku' control hasira zangu.
Amekuwa kila siku ananijibu majibu ya ajabu ajabu. Leo nilikuwa nimesha be stressed kazini tayari, alivyo jileta tu, nikasema hasira zote analipia yeye.Alikusoma akakujua ndio maana akawa anakuchukulia poa.