Wake zetu nendeni na wakati

Tofautisha ndoa na uchumba/urafiki! Kwenye mapenzi ya kawaida utakuta mdada anafoka na mike daily na kidume kinaenda uvinza daily ila ikishafungwa ndoa hayo mambo yakuwa msamiati kabisa!

Naunga mkono hoja ya jamaa, ila ikate kote kote kwa ke na me!
Pamoja sana, hasa mike akiisimamia vizuri unaweza tangaza mabasi yote ya mwendokasi unampa yeye
 
Tom....ba tu mkuu hivyo hivyo ila amini nakuambia akito...mbwa nje huwezi amini anavyokujwa kama ndie yeye,zaidi piga show za kibabe tu kwa kwenda mbele
Yaani hapo ndipo kwenye tatizo wakienda kwa hawala zao wanapiga hadi kichurachura ila home ndio wanazingua, ndio maana watu wanasifia wake za watu watamu
 
Mwanaume mwingine ukimbadilishia style Mke tegemea kuachwa
 
Hiyo iko pande zote bana. Cha nje kitamu
Kwa hiyo na wewe ukienda nje huwa unatoa shoo za kibabe?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akipiga hizo samasoti ghafla si utahisi kuna sehemu anajifunza, we mfundishe mwenyewe usije kumnangia huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…