julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Heeh ! Kumbe kuna kubakana kwenye ndoa?? Lahaulaa!! Haya ngoja wahanga waje loh!!
Wewe ni ridhaa yako?
Heeh ! Kumbe kuna kubakana kwenye ndoa?? Lahaulaa!! Haya ngoja wahanga waje loh!!
^^
Nimewahi kupata kesi ya aina hii,,ilikuwa ngumu kwangu kushauri..Mdada tendo la ndoa lilikuwa wakati wowote.Mume akijisikia anatoroka kazini akimkuta mke anapika au kuosha vyombo ndo basi tena.Ilifika mahali ikawa mara 7 kwa siku..hoja ya mume ilikuwa amejilinda sana masomoni hivyo alikuwa anafidia.
Mwisho mke alikimbia ndoa.
KWELI KUNA UBAKAJI WA KIMYA MAJUMBANI
^^
Ukilazimishwa kufanya mapenzi na mtu yeyote yule pasipo ridhaa yako ni ubakaji! haijalishi ni mme,ndugu,rafiki,mpenzi n.k!!
Tafakari chukua hatua!
sasa kesi ya namna hii kama ni mumeo kuna kifungu cha sheria cha kuwabana watu kama hao??.
Tusubiri wataalamu wa sheria wakipita pande hizi watuueleze kama kipo! ila kama hakipo unashaurije wewe?
natamani nikubakeHeeh ! Kumbe kuna kubakana kwenye ndoa?? Lahaulaa!! Haya ngoja wahanga waje loh!!
natamani nikubake
Mmmmmmmmmmmh!
natamani nikubake
Ubakaji ni tendo la kumlazimisha mtu yeyote yule (mwanamke au mwanaume) /(mke wako au mme wako) kufanya tendo la ndoa pasipo idhini/hiari yake mwenyewe!
Tatizo hili linawakumba wake za watu zaidi kuliko kundi lingine zaidi! Nasema hivyo kwa kuwa yeye linaweza kumpata ndani ya ndoa au nje ya ndoa! akifanyiwa ndani ya ndoa huheshimu ndoa kwa kuto kutoa siri za ndani nje pia akifanyiwa nje ya ndoa wengi huogopa kusema moja huhofia kuipoteza ndoa maana bwana akisikia umebakwa wengine lawama zote hushusha kwa wake zao na pengine kuwaacha hivyo huwafanya wafiche iwe siri yake! pili huogopa kuaibika katika jamii kuwa alibakwa nayo huwa siri yao.
Hii ni tofauti na makundi mengine ya wanawake mfano msichana wa kazi, wadada wa kitaa na mabidada zetu wao kikubwa huogopa aibu lakini hata akisema baada ya kesi kuisha mambo huwa shwari kama ni jamii si anahama tu eneo!
Sasa ni wakati mwafaka jamii tulitambue hili ili kulinusuru hili kundi la msingi katika jamii wewe fuatilia kesi za kubakwa kusikia mke wa mtu kabakwa ni mara chache sana ukilinganisha na watu wengine! Tena mara nyingi watu hutegewa tu linachezwa dili kati ya mke na mme kama kuna mtu anamtongoza tongoza mtaani akiwa hamtaki akimwambia mme wanaona hapa kuna za kuvuta namanisha mkwanja! Sio kweli hawabakwi wanaogopa kuvunja ndoa!
Haya wanajanvi tiririkeni kuwashauri hawa baba na mama zetu walioko kwenye ndoa nini wafanye kupunguza kama si kuondoa ukatiri huo!
research topic inasemaje? umbea tu, no research no right to speak
mume hatakiwi kulazimiasha tendo la ndoa sbb mmeoana, lazima kuwe na ridhaa ya wote wawili. kama haupo kwenye mood, inabidi amtafute huyo mood amlete ulingoni. kuna wanaume wengine wanadandia tu wake zao wkt wa hilo tendo bila kujali hisia na utayari wa wanawake, huko nako ni kubaka.Heeh ! Kumbe kuna kubakana kwenye ndoa?? Lahaulaa!! Haya ngoja wahanga waje loh!!