ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Mkuu karibu sana kwenye dini tukufu ya uislamWakati wa uchumba mambo yanaenda sawia.. Kukutana japo kwa kuibana sehemu tofauti ni burudani tosha na mahaba tele ikiwa pamoja na kuoga pamoja
Baada ya kupata mtoto wa kwanza.. Kuna ka tofauti unaanza kukaona... Mtoto wa pili.. Katofauti kanaongezeka... Wa Tatu... Ooh... Yale yote ya uchumba uliozoea hakuna kabisa!?
Yote tisa shida kubwa inakuja kwenye faragha.. Mke anafanya kila namna kukukimbia wakati wa kulala ikiwa ni pamoja na visingizio vingi..
(1)Leo nimeichoka sana
(2)Leo nina usingizi mwingi
(3)Kesho naamka mapema sana
Na mengine mengi
Cha ajabu wakati wa mchana au wakija wageni muda wote yuko vizuri shida ifikapo muda wa kulala, mara nyingine unafanya ku force sasa ujue mambo haya ya nature hayataki nguvu... Utakosa feeling tu hata akiruhusu ki shingo upande!
Changamoto inakuja pale unapotoka nje kwa Mihangaiko ya kawaida unakutana na mambo mengi unakutana na wanawake wa age tofauti walio single na wengine wengi wakiwa wameikosa faragha ya kuwa na mwenza kwa kipindi kirefu ama kwa kukosa Bahati ya kuolewa ama kwa kufiwa... Na unakuta wanakuhitaji kweli.. Hapo ndio unapoomba mungu akupe uvumilivu
Huwa najiuliza ni nature tu au? Upande mwingine huwa najikuta naunga mkono utaratibu wa dhehebu la wenzetu wa kuwa nao wanne kweli walikuwa sahihi
Na hapa ndio sehemu pekee penye tatizo kubwa la Ndoa
Na ukichunguza ndio sababu hasa za waume tuwe na nyumba ndogo si kama wengi wanapenda
Rekebisheni!!
karibu upande wetu mkuuWakati wa uchumba mambo yanaenda sawia.. Kukutana japo kwa kuibana sehemu tofauti ni burudani tosha na mahaba tele ikiwa pamoja na kuoga pamoja
Baada ya kupata mtoto wa kwanza.. Kuna ka tofauti unaanza kukaona... Mtoto wa pili.. Katofauti kanaongezeka... Wa Tatu... Ooh... Yale yote ya uchumba uliozoea hakuna kabisa!?
Yote tisa shida kubwa inakuja kwenye faragha.. Mke anafanya kila namna kukukimbia wakati wa kulala ikiwa ni pamoja na visingizio vingi..
(1)Leo nimeichoka sana
(2)Leo nina usingizi mwingi
(3)Kesho naamka mapema sana
Na mengine mengi
Cha ajabu wakati wa mchana au wakija wageni muda wote yuko vizuri shida ifikapo muda wa kulala, mara nyingine unafanya ku force sasa ujue mambo haya ya nature hayataki nguvu... Utakosa feeling tu hata akiruhusu ki shingo upande!
Changamoto inakuja pale unapotoka nje kwa Mihangaiko ya kawaida unakutana na mambo mengi unakutana na wanawake wa age tofauti walio single na wengine wengi wakiwa wameikosa faragha ya kuwa na mwenza kwa kipindi kirefu ama kwa kukosa Bahati ya kuolewa ama kwa kufiwa... Na unakuta wanakuhitaji kweli.. Hapo ndio unapoomba mungu akupe uvumilivu
Huwa najiuliza ni nature tu au? Upande mwingine huwa najikuta naunga mkono utaratibu wa dhehebu la wenzetu wa kuwa nao wanne kweli walikuwa sahihi
Na hapa ndio sehemu pekee penye tatizo kubwa la Ndoa
Na ukichunguza ndio sababu hasa za waume tuwe na nyumba ndogo si kama wengi wanapenda
Rekebisheni!!
Ushauri mujarabu kabisaPunguza kulalamika Mkuu kaa chini na mkeo mzungumze. Japo nimejikuta nashangaa ikiwa yote yaliyo hapo kwenye mabano unakubaliana nayo unategemea mwisho wa siku iweje kwa upande wako?
Pia wacha kuonea wivu walioruhusiwa kuwa na wake wengi. Maana wao nao pia wana changamoto zao Mkuu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ushauri mujarabu kabisa
Na mnaongoza kuowa na kuacha kisa dini bado unawake 3 na unachepuka wanaume amrithikagi ilo ndo jibu ata upewe kila siku Mara 3 bado tu utataka na ya njee uonjekaribu upande wetu mkuu
Wacha nikaziePunguza kulalamika Mkuu kaa chini na mkeo mzungumze. Japo nimejikuta nashangaa ikiwa yote yaliyo hapo kwenye mabano unakubaliana nayo unategemea mwisho wa siku iweje kwa upande wako?
Pia wacha kuonea wivu walioruhusiwa kuwa na wake wengi. Maana wao nao pia wana changamoto zao Mkuu.
Na mie nakazia nikiwa nyuma yenuWacha nikazie
Aaahh sie ndio tuwe nyuma yakoNa mie nakazia nikiwa nyuma yenu
Kazia mdogo wangu sababu suluhu ni kuzungumza na mkewe maana siku zote wanasema hakuna binadamu aliyekamilika.Wacha nikazie