Watakuja kukufahamisha usijal.
Sidhani kama wapo........maeneo mengine labda.......? kama Mwanza hivi Isamilo kule, Mbeya.....Iringa....? kama hivyo
Niaje arif...
nipoa! Upo pande zp ndugu?
Habari wana Jf cc! Am a new member humu jamani ila ningependa kufahamu kama kuna wanaJf wanaoishi maeneo ya Same kilimanjaro au Arusha hasa maeneo ya Njiro nanenane maeneo ya kambini.
Habari wana Jf cc! Am a new member humu jamani ila ningependa kufahamu kama kuna wanaJf wanaoishi maeneo ya Same kilimanjaro au Arusha hasa maeneo ya Njiro nanenane maeneo ya kambini.
Haya ukishawafahamu inakuwaje arifuu.
Ni aje cha'la angu!