Mbagala ni kitongoji au mji katika wilaya ya Temeke-Dsm.
Mbagala ni sehemu inayoonekana kuongezeka idadi kubwa sana ya watu.
Idadi hiyo kubwa ya watu haiendani kabisa na baadhi ya fursa za kibiashara kutokana na style yao ya maisha kupenda mambo ya ajabu ajabu utazani hawako jijini DSM.
Machokolaa, vibaka , panya road na wasasambuaji wengi utawapata mbagala kwa wingi.
Watu wa mbagala wana ALEJI na vitu vizuri,
Ukiwekeza supermarket mbagala ustarajie kupata wateja wengi pamoja na umati mkubwa uliopo. Kama huamini hili jaribu kuzunguka mbagala yote hutakaa uone SUPERMARKET KUBWA YA MAANA.
Wanaojaribu kuwekeza mbagala wengi hufungua VI-MINI-SUPERMARKET ambavyo navyo huwa havidumu kutokana na ukosefu wa wateja.
Pamoja na hilo idadi kubwa ya wateja hawaaminiki! Hivyo si ajabu kabisa kuona mteja akificha bidhaa kwenye dera kama muuzaji hautokuwa makini
ZIFUATAZO NI SABABU ZINAZOCHANGIA MBAGALA IDUMAE
Aina ya watu wa mbagala wanapenda mambo ajabu ajabu sana.
yote tisa, kumi watu wa mbagala wana ALEJI na vioo, wakiona chokolate kwenye kioo hawaachi kukipasua.
Maduka ya mchele mbagala yanafungwa saa 10 ukichelewa hadi giza liingie mwenye duka utajua haujui!
Ukitaka kufungua supermarket mbagala hakikisha UNAJENGA KAMA GODOWN! na wateja wasindikizwe na mgambo maana vinginevyo hawachelewi kuharibu.
Biashara pekee inayofaa mbagala ni kubeti, kule wana beti hadi mabibi vikongwe!
Watu wa sampuli hii wanahitaji mipango kabambe sana kuwakomboa!
Zunguka kote lakini mbagala kiboko yao!

- Ukifika mbagala kuna sukari hadi ya Tsh 50/=(Shilingi hamsini)
- Mbagala kuna pilau la mia tsh 100
- Ukifika mbagala kuna soda hadi ya Tsh 20/=(Shilingi ishirini) wanapima kwenye kijiko,vizibo na vifuko vya maji!
- watu wa mbagala wanakula miguu ya Kuku.
- Ukiuza mchele mchele mbagala kila mteja atataka achote mchele wa kutafna
- Watu wa mbagala wanakula ming'oko kama wamechanjiwa
- watu wa mbagala walakula Utumbo wa kuku na njiwa!.....
- Vigodoro n.k