Wakazi wa Kawe siku ya leo hawatembelei fukwe mbalimbali jimboni humo, lengo ni kuwapa fursa wakazi wa majimbo mengine!

Kwa taarifa yako Beach chafu ni ya coco

Kawe beach,msasani beach znaafadhali

Ova
Mrangi hakuna cha afadhali asee!

Coco, kawe, msasani zote chafu kinoma

Mi yale maji nafanyaga kukanyaga mpaka mapajani tu siogi!

Beach safi kuliko zote ni Ununio!
 
Mrangi hakuna cha afadhali asee!

Coco, kawe, msasani zote chafu kinoma

Mi yale maji nafanyaga kukanyaga mpaka mapajani tu siogi!

Beach safi kuliko zote ni Ununio!
Coco beach ilikuwa nzr enzi za miaka ya 80,90
Mpaka mabafu yalikuwepo ya kuoga

Sasa nyie bongo kuboresha Beach hamjui😂
Katembeleee copacapana Brazil uone

Ova
 
Ile safari yenu ya Marekani vp...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…