Wakazi wa Kawe siku ya leo hawatembelei fukwe mbalimbali jimboni humo, lengo ni kuwapa fursa wakazi wa majimbo mengine!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,201
4,673
Wadau wa JF

Niwatakie Kheri ya Christmas

Niende kwenye mada

Sisi Wakazi Wa Jimbo la Kawe tunawasalimu na pia tuwakaribisha sana ndugu zetu wa Majimbo Mengineyo Jijini Dar es salaam mtembelee Beach Mbalimbali zilizopo Jimboni mwetu

Sisi ndugu zenu wa Jimbo la Kawe kwa Desturi siku kama ya leo huwa tunatulia tu majumbani kwetu na hatupendelei sana kutoka na kwenda Beach!

Tunafanya yote hayo ili tuwape Fursa wageni wetu mtembelee na mjionee madhari nzuri zilizopo kwetu!

Karibuni Sana mtembelee vivutio mbalimbali
Tunawapenda

Merry Christmas
 
Yani Kawe kuna beach? Masihara
 
Likewise wa kigamboni hua tumetulia hm pia!acha ndugu zetu wa huko bara(Kibaha,kimara,ubungo,mbezi,gomz na mbagala) wajinafasi kwa raha zako! Ni hayo tu kwa sasa
 
Umeona eeh sie tumetulia tuli hatuna papara tunaenda week days ila week end tunawaachia wakazi wengine wa dar wanajazana kuanzia pale Rongoni,mikadi,pweza zaman chadibwa njoo malaika, heritage then shukia pale kijiji kabla hujafika kipepeo,gendaeka, nyoosha kidogo sunrise kisha malizia South beach.huko bamba mpk ras cutan ni mbali ssna
 
Wadau wa JF

Niwatakie Kheri ya Christmas

Niende kwenye mada

Sisi Wakazi Wa Jimbo la Kawe tunawasalimu na pia tuwakaribisha sana ndugu zetu wa Majimbo Mengineyo Jijini Dar es salaam mtembelee Beach Mbalimbali zilizopo Jimboni mwetu

Sisi ndugu zenu wa Jimbo la Kawe kwa Desturi siku kama ya leo huwa tunatulia tu majumbani kwetu na hatupendelei sana kutoka na kwenda Beach!

Tunafanya yote hayo ili tuwape Fursa wageni wetu mtembelee na mjionee madhari nzuri zilizopo kwetu!

Karibuni Sana mtembelee vivutio mbalimbali
Tunawapenda

Merry Christmas
Tunataka mtukaribishe siku mnapelekwa Birmingham na Askofu.
 
Back
Top Bottom