Wakazi wa Kawe siku ya leo hawatembelei fukwe mbalimbali jimboni humo, lengo ni kuwapa fursa wakazi wa majimbo mengine!

Kwa taarifa yako Beach chafu ni ya coco

Kawe beach,msasani beach znaafadhali

Ova
Mrangi hakuna cha afadhali asee!

Coco, kawe, msasani zote chafu kinoma

Mi yale maji nafanyaga kukanyaga mpaka mapajani tu siogi!

Beach safi kuliko zote ni Ununio!
 
Mrangi hakuna cha afadhali asee!

Coco, kawe, msasani zote chafu kinoma

Mi yale maji nafanyaga kukanyaga mpaka mapajani tu siogi!

Beach safi kuliko zote ni Ununio!
Coco beach ilikuwa nzr enzi za miaka ya 80,90
Mpaka mabafu yalikuwepo ya kuoga

Sasa nyie bongo kuboresha Beach hamjui😂
Katembeleee copacapana Brazil uone

Ova
 
Wadau wa JF

Niwatakie Kheri ya Christmas

Niende kwenye mada

Sisi Wakazi Wa Jimbo la Kawe tunawasalimu na pia tuwakaribisha sana ndugu zetu wa Majimbo Mengineyo Jijini Dar es salaam mtembelee Beach Mbalimbali zilizopo Jimboni mwetu

Sisi ndugu zenu wa Jimbo la Kawe kwa Desturi siku kama ya leo huwa tunatulia tu majumbani kwetu na hatupendelei sana kutoka na kwenda Beach!

Tunafanya yote hayo ili tuwape Fursa wageni wetu mtembelee na mjionee madhari nzuri zilizopo kwetu!

Karibuni Sana mtembelee vivutio mbalimbali
Tunawapenda

Merry Christmas
Ile safari yenu ya Marekani vp...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom