Wakazi Wa Hawaii Na California kujiandaa Na milipuko ya Nuclear.

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,381
1,760
Urusi kalipua kombora LA Topol RS - 12M.California Na Hawaii wanataka kufanya maandalizi ya kuwafunza wananchi wao jinsi ya kujikinga Na mionzi ya Nuclear.

Itakumbukwa wiki mbili zilizopita Urusi wamefanya mazoezi makali ya kijeshi wakishirikiana Na Belarus.Sasa naona uvumilivu unaweza kukaribia mwishoni Na WWW3 IPO mlangoni Kama Putin anavyosema.

Nchi yetu IPO katika hali mbaya kwa sasa sijui vita vikipiganwa tutakuwa katika hali gani.
Source: North Korea: Hawaii residents told to prepare for nuclear attack as tensions reach new high
Russia fires ballistic missile with HUGE warhead as Putin ratchets up WW3 threat | World | News | Express.co.uk
 
Back
Top Bottom