ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Jamaa anataka kujipa nafasi ya Ruge ktk kuamua hatima ya muziki na wana muziki wa bongoMajizo ni .Faller kama Maphaller wengine.
Hii maana yake ni nini?na mimi kama mlaji wa Kazi za wasanii ni bora kuwa na wasanii than lack of....
Nakazia Mboga(kwa sauti ya kinyakyusa).Tule kule tulikopeleka mboga
@fanyenikazií ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Faida ya Entertainment kwa Individual na Jamii kwa UjumlaHii maana yake ni nini?
Hiyo "entertainment" si inaendeshwa na "entertainers" na jee hao entertainers hawana wajibu kwa jamii.Faida ya Entertainment kwa Individual na Jamii kwa Ujumla
- stress relief, improved mood, and better mental health
- providing escape and joy;
- enhances social connections through shared experiences,
- boosts creativity, provides cognitive stimulation,
- teaches empathy, and promotes cultural understanding. (kama wanajamii husika watakuwa na busara kuitumia positively na sio otherwise)