The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,674
- 2,801
wakuu habari,
Niende moja kwa moja kwa hawa wakatisha tiketi. Kuna mchezo wameanzisha wana dublicate tiketi na wanakuuzia. katika kila tiketi moja wanatengeneza mbili ile ya pili hela wanakula wao. sasa ukipewa ile dublicate wakati wa kutoka pale kwenye vile vi scana vyao lazima itabuma..."watakwambia kaka samahani pitia huku tiketi yako ni dublicate" Hella ishapigwa hapo
Jambo la pili, nauli za UDART ni 650, sasa kila mkatisha tiketi ile hamsini atasema hana. ukitoa 1000 unapewa 300. Jiulize 50 akipata watu 70 si ni 3500, kwa wiki ana 24500 kwa mwezi ana 98,000 akijumlisha dili za dublicate receipt plus mshahara? Shetani ampe nini tena?
Wasalaam.