pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
Njia ya kisasa yaku pambana na maradhi yanayo sambazwa kwaku pitia mbu.
Katika mji wa Guangzhou nchi China, kuna kiwanda kikubwa zaidi cha mbu Duniani. Ambacho kina zalisha mbu laki 5 hadi milioni 1 kwa wiki.
Mbu wote wanao zalishwa katika kiwanda hicho hubebeshwa, kimelea cha "Wolbachia". Mbu wakiume waaina hiyo akijamiana na mbu wakike mbu wa kike hata weza kuzaa tena.
Mwaka 2001, Xi Zhiyong, alianza kutafiti kimeleo cha "Wolbachia". Nani mtu wa kwanza kuweka kimelea hicho katika mbu wenye virusi vya Dengue na Malaria.
Xi Zhiyong na timu yake hawataki kuangamiza mbu wote, na wanataka kubadilisha mbu wanao ambukiza virusi na kuwa mbu wa kawaida.
Kiwanda hicho cha mbu pia kina ungwa mkono na tajiri mkubwa duniani Bill Gates, ambaye alichangia Dola milioni 15 za Marekani.