Wakati wenzake wanajiandaa yeye kalala


Teh teh TWO THINGS ARE INVOLVED

Hakuna namna kama hayaingii unauchapa tu

Hamna namna kesho utaangalizia

Aggiiie!..... Aggiiiiiieeee!... Njo!

Msambinungwa

Dah mtunga mtihan bamdogo wake

Sio mzee sita alisimamia shoo(RIP)

Halafu huyo ndio mwisho wa siku anagonga B+ au A

Duh noma sana

Nyie mliokomaa mnaambulia ka C tena ka mwisho. Hapo sponsor alikua Mzee Six kulikuwa hakuna haja ya kusoma.


[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…