Wakati wengine wanakimbilia ulaya kutafuta fursa, Ulaya wanakuja Tanzania kutafuta fursa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Kuna watu wanasema Tanzania fursa hamna wanatimukia ulaya wakati huo huo ulaya wanatimukia Tanzania kutafuta fursa.

Fursa ni kama biashara ya madawa ya kulevya unakuta mtu kakamatwa airport Dar es salaaa anasafirisha dawa za kulevya kwenda nje ya nchi siku hiyo hiyo unakuta mwingine kakamatwa hapo hapo airport akitoka nje ya nchi akileta dawa za kulevya nchini.Sasa unajiuliza hivi hii biashara ikoje?

Wengine wanashikwa wanaleta wengine wanashikwa wanatoa.
 
Back
Top Bottom