Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015,Uwanja wa Mashujaa wa Moshi haukutumika?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Hili ndio swali ninalojiuliza na nimejikuta nayakumbuka maneno ya P.W.Botha aliekuwa Raisi wa Afrika kusini enzi zile za ubaguzi wa rangi.

Hata hivyo,siku si nyingi Mungu atawajaribu wata hawa ili duniani ijue/itambue hawa ni watu wa aina gani.
 
Yaani serikali hii ya CCM wangekuwa ni watu wenye akili wangefanya namna zote kujiweka KARIBU na watu wa mikoa ya Arusha, Knjaro, Mbeya na mingine ambayo upinzani ili wanyanyasa ili ikifika 2020 wawe na pa kuanzia.

Sasa embu imagine mtu kama Mrisho Gambo anapotaka kugombea Arusha mjini ana nini cha kuwaambia wananchi wakati yeye kila siku ni mtu wa kuharibu.

Likewise kwa mjini Moshi walipaswa wawe karibu sana na wananchi lakini wao ndio wanaharibu kabisa.

CCM ni kusanyiko la watu wajinga kabisa.
 
CCM ni kama mkaa harudi nyumba.
 
Back
Top Bottom