Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,028 Reaction score 168,646 Jan 31, 2018 #1 " Sifa mojawapo kubwa ya chumba cha mtihani ni ukimya na utulivu. Vivyo hivyo, ukiwa katika chumba cha changamoto zako jifunze kutafuta majibu yaliyo ndani yako katika hali ya ukimya na utulivu." NAFSI ILIYOTULIA HUTATUA!
" Sifa mojawapo kubwa ya chumba cha mtihani ni ukimya na utulivu. Vivyo hivyo, ukiwa katika chumba cha changamoto zako jifunze kutafuta majibu yaliyo ndani yako katika hali ya ukimya na utulivu." NAFSI ILIYOTULIA HUTATUA!