Wakati upi DATE RAPE siyo ubakaji?

Sidanganyiki ng'oo
unafahamu kwa nini dinosaur alipotea humu duniani.......ni kwa sababu alisem vivyo hivyo hakubali kudanganyika.........kumbe hakujua kuwa upepo ulikuwa umegeuka...........kiu yako ni mimi nikupende lakini masharti ya mimi kukupenda si wayajua.................sasa purukshani hizi zote za nini? achia nimepachika mabao yangu bila ya zengwe khalafu uone jinsi ninavyomwaga penzi langu kwako lol..........
 
Mie namuuliza kabla hajaja.

Kama utanipa njoo, kama hunipi usije.

Bora kuchora msitari mapema.

masharti nayo yana zengwe lake...................haya mambo yanapendeza yakiwa natural............bila masharti yawe yanajipa tu yenyewe kwani love conquers it all..............
 
Baba, hata kama tuna ndoa na umelipa baba king' ng'ombe zako 300, hauna ruhusa kulazimishiana! Sheria inatambua inatakiwa kupeana raha na sio karaha na maumivu. Mekula kwako hii, na wajua vi-nightie vya siku hizi,unalo!

Hakyanani aliyesema duniani hakuna haki kwenye haki hakukosea..!
 
Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina. Hii ni sexual assault. Yote mawili uhalali wake kuwa makosa ni 'unwillingness of one of the parties to participate'. So hiyo ni shambulio la aibu. Date rape inakuwa sio rape pale ambapo unamvamia mwenzio na anarespond to the end.
Ruta, hata kama nimekuja kwako, nikaoga na kupanda kitandani kwako haikupi uhalali wa kufanya ngono na mie kwa lazma.

kuna mwingine unaweza ukamlazimisha halafu ukimaliza anasema

1. 'wewe nawe umezidi uchokozi'!!

2. au sikutegemea kama ungenifanyia hivi (anaonyesha kabisa kakasirika) baadaye unamuuliza tunakutana lini tena? anajibu panga wewe!!

3. sasa wewe unapanda kitandani kabisa unafikiri mko kwenye komunio??

wanawake wana akili ambazo haziko stable kufanya maamuzi...date rape nyingi ni result ya wanawake kutotambua mwanaume anataka nini....wengi wanajua huwa anataka nini....
 
hebu mwaga shule wanawake wapate elimu na akili zao ziwe stable...

1. Mwanamke atajuaje mwanaume anataka nini, (hasa kwa hao wachache wasiojua kinachotakikana?)
 
unafahamu kwa nini dinosaur alipotea humu duniani.......ni kwa sababu alisem vivyo hivyo hakubali kudanganyika.........kumbe hakujua kuwa upepo ulikuwa umegeuka...........kiu yako ni mimi nikupende lakini masharti ya mimi kukupenda si wayajua.................sasa purukshani hizi zote za nini? achia nimepachika mabao yangu bila ya zengwe khalafu uone jinsi ninavyomwaga penzi langu kwako lol..........

Wishful thinking.....

If that the case let me put my terms then... will you
 
kuna mwingine unaweza ukamlazimisha halafu ukimaliza anasema

1. 'wewe nawe umezidi uchokozi'!!

2. au sikutegemea kama ungenifanyia hivi (anaonyesha kabisa kakasirika) baadaye unamuuliza tunakutana lini tena? anajibu panga wewe!!

3. sasa wewe unapanda kitandani kabisa unafikiri mko kwenye komunio??

wanawake wana akili ambazo haziko stable kufanya maamuzi...date rape nyingi ni result ya wanawake kutotambua mwanaume anataka nini....wengi wanajua huwa anataka nini....

women will always be women...................not knowing exactly where they stand but claiming to know they do!
 
hebu mwaga shule wanawake wapate elimu na akili zao ziwe stable...

1. Mwanamke atajuaje mwanaume anataka nini, (hasa kwa hao wachache wasiojua kinachotakikana?)

afadhali yako ambayo wafahamu kuuliza siyo ujinga.............
 
Wishful thinking.....

If that the case let me put my terms then... will you

In my bedroom there are no lone-ranger or mutual terms but just total submission without grumbling............
 
Hizi habari za "nilienda kwake akanibaka" huwa zinakuja baada ya mwanamke kutopata kile alichotarajia kutoka kwa mwanaume.

Hivi ni mwanamke gani leo hii asiyejua kwamba wanaume wako tayari kutoa hata uhai wa mtu kwa masuala ya ngono? Watu wanasafiri Dar mpaka Mwanza and even further away just for sex, na wanawake wanajua hili. Sex is at the center of man's life, they know this. Ndio maana sometimes wanawake wanatumia sex kama silaha.

Sasa with all that information, mwanamke anapotoka klabu usiku wa manane, kichwani amejaa pombe kwenda kwa mwanaume halafu asubuhi anaenda polisi kushitaki kubakwa, kuna tofauti gani na mtu aliyekaa Dar maisha yake yote, then akaacha fuko la hela Manzese akitarajia kuzikuta kesho yake? Mambo mengine ni kujitakia.

As I said, the so called "date rape" inatokea tu pale ambapo expectations za mwanamke hazikufikiwa, akitengenezwa vizuri, after a week anakuja ghetto tena for another "date rape".

USHAURI

Hutaki kubakwa usijiingize kwenye mazingira hatarishi, dont drink too much, dont be allowed to be taken home by strangers or any man you dont want to have sex with, kama ni stori ziishie bar. Kwangu usije kizembezembe mama utaniletea kesi.....
 
Mtamachungu umemwaga radhi hadi madamex amekupigia vote of like............keep it up kuielimisha jamii
 
Back
Top Bottom