Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
hata unipige na nyundo siwezi elewa hii dhana.
hata unipige na nyundo siwezi elewa hii dhana.
Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina. Hii ni sexual assault. Yote mawili uhalali wake kuwa makosa ni 'unwillingness of one of the parties to participate'. So hiyo ni shambulio la aibu. Ruta, hata kama nimekuja kwako, nikaoga na kupanda kitandani kwako haikupi uhalali wa kufanya ngono na mie kwa lazma.
Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina. Hii ni sexual assault. Yote mawili uhalali wake kuwa makosa ni 'unwillingness of one of the parties to participate'. So hiyo ni shambulio la aibu. Date rape inakuwa sio rape pale ambapo unamvamia mwenzio na anarespond to the end.
Mbimbinho, hata kama nimekuja kwako, nikaoga na kupanda kitandani kwako haikupi uhalali wa kufanya ngono na mie kwa lazma.
Hapa umelonga mkuu....hii ipo sana kwenye jamii yetu hasa domestic rape so common. Nikiwa mke or gf doesn't give a man a right to force when I don't feel like.
Duh, hivi hakuna sheria ambayo itanisapoti kama nitalianzisha kwa situation kama hiyo? yaani vyote hivo afu bado nionekane nna makosa, hakyanani tunahitaji sheria mpya kwa hili aseee.
Karibu. And a gentleman will stop when told so, and he will never have sex with a woman when he knows she is not enjoying. These ar the men I respect.
Mkuu mara nyingi kesi kama hizi huwa ni ngumu kwa mwanamke kushinda.., hivyo basi inabidi wanaume tuwe gentlemen kwa dada zetu na kusaidia kutokuwaweka kwenye such situations.., sababu wewe mwenyewe mwanaume utajua kwamba dada yupo willing au hapana.Duh, hivi hakuna sheria ambayo itanisapoti kama nitalianzisha kwa situation kama hiyo? yaani vyote hivo afu bado nionekane nna makosa, hakyanani tunahitaji sheria mpya kwa hili aseee.
Mkuu mara nyingi kesi kama hizi huwa ni ngumu kwa mwanamke kushinda.., hivyo basi inabidi wanaume tuwe gentlemen kwa dada zetu na kusaidia kutokuwaweka kwenye such situations.., sababu wewe mwenyewe mwanaume utajua kwamba dada yupo willing au hapana.
Kumbuka kama mwanamke hayupo willing utakuwa unamuumiza na nina uhakika hata wewe hauta-enjoy (it takes two to tango)
Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina. Hii ni sexual assault. Yote mawili uhalali wake kuwa makosa ni 'unwillingness of one of the parties to participate'. So hiyo ni shambulio la aibu. Date rape inakuwa sio rape pale ambapo unamvamia mwenzio na anarespond to the end.
Ruta, hata kama nimekuja kwako, nikaoga na kupanda kitandani kwako haikupi uhalali wa kufanya ngono na mie kwa lazma.
Ladies its easy for you to blame someone lakini mnasahau haya yote most of the times mnayaleta wenyewe.too much flirting with someone you are not serious with ndo kinachowacost,kuna njemba zingine ukizibip zinapokea
...Ameen, Mungu aendelee kunilinda hisia zangu za kuzikataa 'mbichi hizi'....
Ni kweli na kuna wengine ni fetish yao kuumizwa (wanawake) kwahio hapo wewe mwanaume utakuwa unajua partner wako yupo hivyo au mpo hivyo sio furaha yako iwe karaha kwa mwenzako.., pia maumivu hapa niliyoongelea ni more mentally than physically..., unajua any physical wounds can heal lakini rape inaweza kuacha kovu milele kwa mwanamke (psychologically),....kuna wengine ni 'fetish'' yao kuwaumiza wengine....
Baba, hata kama tuna ndoa na umelipa baba king' ng'ombe zako 300, hauna ruhusa kulazimishiana! Sheria inatambua inatakiwa kupeana raha na sio karaha na maumivu. Mekula kwako hii, na wajua vi-nightie vya siku hizi,unalo!