Wakati umefika wa kuunda wizara moja ya nishati na nyingine ya madini

Chrizant Kibogoyo

Senior Member
Aug 12, 2016
159
81
Kufuatia sintofahamu inayoendelea katika sekta ya madini ili kuhakikisha taifa linanufaika na madini yetu, kupitia urekebishaji wa mikataba ya uvunaji madini yetu, kuwasaidia wachimbaji wadogo, hali duni ya upatikanaji wa nishati za aina mbalimbali ikiwemo umeme, gesi, mafuta n.k na gharama kubwa za upatikanaji wake; uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea hapa nchini kutokana na matumizi makubwa ya nishati ya mkaa na kuni; na haja ya kupanua na kusambaza matumizi ya nishati mbadala umewadia wakati wa kutenganisha Wizara ya Nishati na Madini
 
Back
Top Bottom