Wakati tunajadili watu tukumbuke kujadili namaendeleo yetu..

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
30,202
69,274
Naona kuna watu wameshika chat kuzungumziwa humu! ukumbi wasiasa umekuwa ukumbi wa kuzungumzia watu sasa sijui ndo siasa zetu..!
lkn tukumbuke wkt tumepigwa bumbuwazi kwa yale yanayotrend,chato imeenda bil.6 kutengeneza visima..
bora hata tukomalie kumkumbusha mkuru ahadi zake maana hakukawii kusemwa sikuahidi kuwaletea .....! sasa wacha tubwabwajike kuhangaika huyu kaenda kule mara huyu cheti cha yule tena huyu kashikwa kule.. hlf chato kimeenda kitu ohooo..!!
tusisahau utawala huu ni mubashara.. kinawaka kinazima kinawaka kinazima
 
Tanzania kama ni viwanda vya majungu tutaweza but hivi vya kutengeneza bidhaa siyo leo labda in the next 200 years. Take my words
 
Tanzania kama ni viwanda vya majungu tutaweza but hivi vya kutengeneza bidhaa siyo leo labda in the next 200 years. Take my words
ha ha ha! ndugu nani kakukatisha tamaa..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom