Wakati Rais Magufuli akiwabana TRA waongeze ukusanyaji, Spika Ndugai aahidi kuwaandalia wabunge sherehe kubwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,949
Wakati Rais wetu mpendwa akipambana usiku na mchana kuhakikisha matumizi ya fedha za walipa kodi yanasimamiwa vizuri ili kuwaletea wananchi maendeleo, wabunge wetu watakuwa na sherehe kubwa siku za usoni kujipongeza kwa ushindi mnono michezoni waliojipatia huko Rwanda.Sherehe hizo zitawashirikisha wabunge wote wakiwemo wale wa kambi rasmi ya upinzani.

Hapa ndipo Johnthebaptist najiuliza isije kuwa viongozi wetu wanajenga mnara wa babeli bila wao kujua?!
Niishie hapo!
 
Jana nilikuwepo Dodoma nikapiga picha nao wabunge uwanja wa ndege Dom, ila sijasikia kama spika kasema atawafanyia sherehe kubwa zaidi ya pongezi baada ya mama Salma kuongea, naibu spika, kisha spika..!! Nadhani sherehe ni kupoteza fedha, haina haja kama kasema hivyo Ndugai
 
Itakuwa ulinogewa na mapokezi, binafsi nimemuona na kumsikia Spika kupitia luningani ITV!
 
Rungu lao linakuja,wanabaki 2 genda kila mkoa by 2020.Kufuatia ufanisi wateule wa Rais na watendaji.Hakuna jiwe lisilo guswa.
 
Wakati Rais wetu mpendwa akipambana usiku na mchana kuhakikisha matumizi ya fedha za walipa kodi yanasimamiwa vizuri ili kuwaletea wananchi maendeleo, wabunge wetu watakuwa na sherehe kubwa siku za usoni kujipongeza kwa ushindi mnono michezoni waliojipatia huko Rwanda.Sherehe hizo zitawashirikisha wabunge wote wakiwemo wale wa kambi rasmi ya upinzani.

Hapa ndipo Johnthebaptist najiuliza isije kuwa viongozi wetu wanajenga mnara wa babeli bila wao kujua?!
Niishie hapo!
KaziNAbata dogo, acha unoko "we only live once"
 
Wakati Rais wetu mpendwa akipambana usiku na mchana kuhakikisha matumizi ya fedha za walipa kodi yanasimamiwa vizuri ili kuwaletea wananchi maendeleo, wabunge wetu watakuwa na sherehe kubwa siku za usoni kujipongeza kwa ushindi mnono michezoni waliojipatia huko Rwanda.Sherehe hizo zitawashirikisha wabunge wote wakiwemo wale wa kambi rasmi ya upinzani.

Hapa ndipo Johnthebaptist najiuliza isije kuwa viongozi wetu wanajenga mnara wa babeli bila wao kujua?!
Niishie hapo!
Burundi = Rwanda
 
Unafuta sherehe za kupata uhuru hela unapeleka kurudia uchaguzi wa mabavu halafu unajipongeza kwa ushindi mkubwa wa kishindo cha tsunami, wananchi wenye hekima na busara tunakuangalia tu unabaki unajiona mjanja ukiwa na maccm mazuzu yanakushangilia huku mnakimbia mbio za mwenge
 
Wakati Rais wetu mpendwa akipambana usiku na mchana kuhakikisha matumizi ya fedha za walipa kodi yanasimamiwa vizuri ili kuwaletea wananchi maendeleo, wabunge wetu watakuwa na sherehe kubwa siku za usoni kujipongeza kwa ushindi mnono michezoni waliojipatia huko Rwanda.Sherehe hizo zitawashirikisha wabunge wote wakiwemo wale wa kambi rasmi ya upinzani.

Hapa ndipo Johnthebaptist najiuliza isije kuwa viongozi wetu wanajenga mnara wa babeli bila wao kujua?!
Niishie hapo!
Arrgghhhhh John ushawachongea sasa, mwisho wa siku watafanya lakini kwa contribution zao
 
Kukusanya mapato zaidi
Kufuta sherehe za uhuru
Kurudia uchaguzi
Kufanya sherehe za kujipongeza
Kutopandisha mishahara
Kuzuia mafao ya wastaafu

Consistency ktk maisha ni kitu muhimu sana anyway ni mtazamo wangu tu.

good morning good people in here.
 
Hahahaa....... Sijawachongea mkuu nimejaribu kuwakumbusha tu maana hata hiyo michezo yao haina faida yoyote kwa taifa nyakati kama hizi!
 
B

Bad morning sa!
C U leita!
 
Hahahaa....... Sijawachongea mkuu nimejaribu kuwakumbusha tu maana hata hiyo michezo yao haina faida yoyote kwa taifa nyakati kama hizi!
Mkuu wale wabinafsi sana ikifika wao kupata wanakuwa kitu kimoja sio wapinzani wala ccm
 
Hahahaa....... Sijawachongea mkuu nimejaribu kuwakumbusha tu maana hata hiyo michezo yao haina faida yoyote kwa taifa nyakati kama hizi!

Wabunge wa ccm wataacha kujipongeza wakati kazi yao ya kupitisha kila jambo la magu wanapitisha bila usumbufu? Hasa linalowafanya wafurahie zaidi na kuweka sherehe ya kukata na shoka ni hili la kupitisha mafao ya 25% kama rais alivyotaka.
 
Kumbe bado unatunza bustani za Bunge? Msalimie Pauline.
Jana nilikuwepo Dodoma nikapiga picha nao wabunge uwanja wa ndege Dom, ila sijasikia kama spika kasema atawafanyia sherehe kubwa zaidi ya pongezi baada ya mama Salma kuongea, naibu spika, kisha spika..!! Nadhani sherehe ni kupoteza fedha, haina haja kama kasema hivyo Ndugai
 
Wakati Rais wetu mpendwa akipambana usiku na mchana kuhakikisha matumizi ya fedha za walipa kodi yanasimamiwa vizuri ili kuwaletea wananchi maendeleo, wabunge wetu watakuwa na sherehe kubwa siku za usoni kujipongeza kwa ushindi mnono michezoni waliojipatia huko Rwanda.Sherehe hizo zitawashirikisha wabunge wote wakiwemo wale wa kambi rasmi ya upinzani.

Hapa ndipo Johnthebaptist najiuliza isije kuwa viongozi wetu wanajenga mnara wa babeli bila wao kujua?!
Niishie hapo!
Natafakari zana kwanini uliandika wakiwemo wabunge wa kambi ya rasmi ya upinzani. Ila jibu ninalo; Ni hivi, Hata wewe johnthebaptist unaamini kuwa wabunge wanaoweza kusimama na kutetea maslahi ya Watanzania na nchi kwa ujumla ni wabunge wa upinzani tu. Hongera kwa kulitambua hilo ndugu yangu. Basi waunge mkono.
 
Back
Top Bottom