Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
855
1,224

Peter Munk (83), Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Barrick Gold Corporation, kampuni inayomiliki zaidi ya asilimia 60 ya Hisa za Acacia.
Alizaliwa November 8, 1927, Ni raia wa Canada, mfanyabiashara na mtoa misaada mashuhuri zaidi duniani . Munk ndie Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni kubwa zaidi ya madini duniani ya Barrick Gold Corporation .
Munk alizaliwa katika mji wa
Budapest, Hungary, katika familia ya kitajiri ya Wayahudi, kijana wa Katherine (Adler) and Louis L. Munk. Baada ya Hungary kuvamiwa na utawala wa Nazi wa Ujerumani chini ya Adolp Hittler mnamo Machi ,1944 Peter Munk alikuwa kijana mdogo wa umri usiozidi Miaka ishirini. Familia yake ilitoroka kupitia treni ya Kastner , Treni ambyo ilibeba wayahudi takribani 1,684 na kuwapeleka nchini Switzerland, mpango ulioratibiwa na Rudolf Kastner, Mhafidhina wa taasisi iliyojulikana kama Zionist Aid and Rescue Committee .
Taasisi hii ilitumika kuwatorosha Wayahudi kutoka Hungary kufuatia majadiliano na Afisa wa ngazi za Juu ya Ulinzi wa Hungary
Adolf Eichmann kwa kubadilishana fedha, dhahabu, almasi kwa kile kilichojulikana kama Mapatano ya damu na vito vya thamani ( "blood for goods" deals )
Munk alihitimu katika Chuo Kikuu cha
Toronto, Canada na kutunukiwa shahada ya electrical engineering mnamo Mwaka1952.
Mwaka 1958, Munk pamoja na wenzake walianzisha kampuni ya
Clairtone kwa usaidizi David GilmourFrank Sobey. Baada ya hapo, amekuwa na mafanikio na changamoto nyingi katika biashara zake.
Amewahi kuwa Mhadhiri katika Chuo kikuu James Gillies Alumni Lecture,
York University, Toronto. Amekuwa mjumbe katika bodi mbalimbali zikiwamo;

Pia Munk ni mjumbe wa heshima wa bodi ya taasisi ya Jewish National Fund (JNF) of Toronto, taasisi ambayo imekuwa na jukumu la kupora ardhi ya palestina na kuendeleza makazi ya Wayahudi kinyume na Azimio la Umoja wa Mataifa.
Taasisi hii ndio imekuwa kitovu cha ushirikino wa familia za Wahahudi wote ulimwenguni , ambapo moja ya jukumu lake kubwa ni kurudisha ardhi ya Israel iliyopotea kwa kuchangisha fedha na kununua ardhi kutoka kwa Palestine, kupanda miti, kujenga makazi na miundombinu mbalimbali.

Kutokana na uwezo, ushawishi na mafanikio yake, Munk amepata PHD za heshima katika Vyuo vikuu mbalimbali;

Kutokana na tuzo hizo, Munk anatajwa kuwa afisa ambaye anaheshimika zaidi nchini Canada
Pia ni mwanzilishi wa
Munk School of Global Affairs, kupitia mchano wa fedha kutoka taasisi yake ya Peter and Melanie Munk Foundation.
Note:
Kufahamu vizuri uwezo wa adui yako, inakupa fursa ya kutafakari njia bora zaidi ya kupambana nae. Ni wazi kabisa matumizi ya nguvu bila weledi hayatatuacha salama. Uzalendo wetu ujikite kuitumia elimu na maarifa yetu katika kupata tunachokitaka. Kutumia hoja za kijinga kwa kivuli cha Uzalendo ni hasara zaidi kwa kizazi cha leo na kesho. Kudhani kila anayeunga mkono kila jambo ndio Mzalendo bila kujali athari zake kwa Taifa ni nonsense. Tuungane katika msingi wa hoja zenye utetezi makini na si katika kelele, pongezi na vijembe. Kutumia jukwaa na kudai wale wanaotofautiana na Approach ya JPM wamehongwa au sio Wazalendo ni kikosa fikra, Kwamba kuhoji uhalali wa data za kamati ni kukosa Uzalendo. Tujipange katika hoja makini.
 
images-1.jpg
images.jpg
images-2.jpg
 
huyo munk ni mossad na pia ana ushawishi mkubwa katika tawala za marekani, canada na australia...... sasa wameliamsha dude lililo lala na wengi wasio jua ni kwamba hawa wayahudi ndio walio saini kifo cha arafati na hata gaddafi........ tuombe uhai tutashuhudia mengi na ipo siku tutajuta kwanini hawa jamaa tuliwapa nchi yetu watutawale kwa kutumia ujeuri na fikra zao za visasi...
wayahudi hushinda vita zao zote kwa kutumia akili kubwa na sio mihemko na kiki za majukwaani
 
Sasa wewe ndugu yangu iwapo tayari umeonesha mwelekeo wako unaochagizwa ama na woga au hamadi kibindoni, utajipangaje pamoja na Watanzania wenye mwelekeo wa kizalendo? Kwa narratives ulizotoa kuhusu huyo role model wako zikiunganishwa na personal note yako, tayari mtu mwenye akili timamu anabaini kuwa unafungamana na Munk. You share ideology with Munk halafu unataka kushikamana na wanao-share ideology ya kulinda maslahi ya kiuchumi ya nchi yao! Wewe kula mkate wako. ila tukikugundua unatusaliti matokeo yake yanajulikana na wewe unayajua.
 
huyo munk ni mossad na pia ana ushawishi mkubwa katika tawala za marekani, canada na australia...... sasa wameliamsha dude lililo lala na wengi wasio jua ni kwamba hawa wayahudi ndio walio saini kifo cha arafati na hata gaddafi........ tuombe uhai tutashuhudia mengi na ipo siku tutajuta kwanini hawa jamaa tuliwapa nchi yetu watutawale kwa kutumia ujeuri na fikra zao za visasi...
wayahudi hushinda vita zao zote kwa kutumia akili kubwa na sio mihemko na kiki za majukwaani
Shikamoo
 
Sasa wewe ndugu yangu iwapo tayari umeonesha mwelekeo wako unaochagizwa ama na woga au hamadi kibindoni, utajipangaje pamoja na Watanzania wenye mwelekeo wa kizalendo? Kwa narratives ulizotoa kuhusu huyo role model wako zikiunganishwa na personal note yako, tayari mtu mwenye akili timamu anabaini kuwa unafungamana na Munk. You share ideology with Munk halafu unataka kushikamana na wanao-share ideology ya kulinda maslahi ya kiuchumi ya nchi yao! Wewe kula mkate wako. ila tukikughundua unatusaliti matokeo yake yanajulikana na wewe unayajua.
Walotusaliti unawajua?
JPM anahusika kupitisha sheria mbovu,tangu 1999 hakukemea
IMG_-xqrsot.jpg
 
Jambo baya zaidi ni kuwa sisi tunachukua maamuzi kwa data za kupikwa na akina Mruma. Ni vigumu kuwaita hata maprofesa kwa ripoti ya kiwango cha chini kama ile.

Unatoa data ambazo kila mwenye ufahamu anakuona wewe ni mjinga. Dunia nzima hakuna mgodi hata mmoja ambao pekee yake unazalisha dhahabu inayofikia ounces zaidi ya laki 5 kwa mwaka. Lakini ripoti ya akina Mruma inaashiria mgod wa Bulyanhulu na Buzwagi inazalisha ounces 1.6 million!

Kama hujui hata kiasi unachoibiwa, utapambana kwaajili ya kuokoa nini? Nadhani kuna haja ya wasomi wanaopewa majukumu ya kitaaluma, nao wakasema wana uwezo halafu ikathibitika hawana uwezo, wawe wanaadhibiwa vikali.
 
Provide specification.
Those who signed contracts and signed bogus treaties in previous today they are crying.
When Mining Act passed JPM was there, he didn't react,JK was there said nothing.
Today they say our resources are stolen.
That nonsense
Kinacholalamikiwa ni wizi above mikataba mibovu.. sio tu mikataba mibovu..... Hawataji actual amount baada ya kuchambua mchanga ikiwa una madini mengi. Na hawataji madini mengine zaidi ya waliyokubaliana. NI mbaya ya mbaya
 
Back
Top Bottom