Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 739
umenikumbusha kijijini enzi hizo, huyo mnyama omba Mungu umkute amekufa, au kama amenasa mtegoni hana uwezo. ila ukimkuta amekasirika na ameamua kukushughulikia, dume la nyani hilo hatari sana. tulikuwa tunaweka mitego wasile mahindi yetu hao, tumeua sana hawa jamaa.na yanadharau wanawake.
Na urojo hatu tumii piaLakini kiepe hatuwezi kula kamwe.
Pia mahindi yakuwekwa ndimu na chachandu mwiko. AhhaaaaaaNa urojo hatu tumii pia
Ngoja watoke disco.....Pia mahindi yakuwekwa ndimu na chachandu mwiko. Ahhaaaaaa