Wakati CHADEMA Wanajenga, ACT wanabomoa

Wakati CHADEMA Wanajenga, ACT wanabomoa

DxR

Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
71
Reaction score
39
Sasa ndio nimeamini Chama cha ACT ni mpini wa kudhoofisha upinzani.

Chadema imekuwa ikijijenga siku hadi siku na mpaka sasa inaendelea kupokea viongozi mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kibaya zaidi, wakati wakijenga chama, ACT wanabomoa.
 
Mkuu hiyo ndiyo demokrasia.
 
Sasa ndio nimeamini Chama cha ACT ni mpini wa kudhoofisha upinzani.

Chadema imekuwa ikijijenga siku hadi siku na mpaka sasa inaendelea kupokea viongozi mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kibaya zaidi, wakati wakijenga chama, ACT wanabomoa.

Naona wewe ulikuwa nje ya Tanzania,kama ulikuwa unaamini kama act ni chama cha upinzani,act ni mtoto wa ccm ili waubomoe upinzani
 
nadhani hapo ACT wapo sawa watu wenye ulembukeni ni hao wanao shawishika na kuhama chama walichokijenga muda mrefu na kukimbilia chama kipya kwa ahadi za kupata vyeo
 
hivi hawa ACT wanaruzuku? au wanapata wapi hela za kuchezea na kupotezea watu muda?
 
Inajenga ukabila tu

Wenzao Chadema wanapambana kuibomoa CCM ACT inapambana kuibomoa chadema. Eti nao wanataka tuwaite wapinzani. Ingawa wanaowapata mmhh viti maalum. mmmh.

uriiwamba polepole watanzania wanazidi kuwafahamu. Haiwezekani moto wa mabadiliko unawake nchini kote nyie mpo busy kuuzima. Lazima mtapata adhabu yenu mda si mrefu. Mnatusikitisha sana tunaopenda kuona CCM inaondoka madarakani!
 
nadhani hapo ACT wapo sawa watu wenye ulembukeni ni hao wanao shawishika na kuhama chama walichokijenga muda mrefu na kukimbilia chama kipya kwa ahadi za kupata vyeo

Kuhama chama ni haki ya kila mtanzania
 
Wenzao Chadema wanapambana kuibomoa CCM ACT inapambana kuibomoa chadema. Eti nao wanataka tuwaite wapinzani. Ingawa wanaowapata mmhh viti maalum. mmmh.

uriiwamba polepole watanzania wanazidi kuwafahamu. Haiwezekani moto wa mabadiliko unawake nchini kote nyie mpo busy kuuzima. Lazima mtapata adhabu yenu mda si mrefu. Mnatusikitisha sana tunaopenda kuona CCM inaondoka madarakani!

Hao wote wanaoendelea kuishabikia ccm pamoja na mtoto wao act lazima wataondoka na mafuriko mwaka huu
 
Attachments

  • 1437902398866.jpg
    1437902398866.jpg
    44 KB · Views: 335
attachment.php

Duh! YAANI KIONGOZI WA WATU, MIONGONI MWA WATU, KWA AJILI YA WATU ANAKUBALI KUFANYIWA UPUUZI SAMPULI HII? KWAKWELI BADO KABISA TUNAHITAJI UKOMBOZI WA KIFIKRA!
 
Back
Top Bottom