Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,439
- 6,692
Huyu alishindwa kabisa kufanya majukumu yake bila kupiga picha na kupost Instagram?
Yaani wakati serikali ya Afrika Kusini inahangaika kutafuta dawa ya UKIMWI na Marekani inahangaika kwenda space, viongozi wa CCM wako busy kuzoa takataka
=============
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid Chuachua ameshiriki na wananchi kufanya usafi katika soko la Buzebazeba Manispaa ya Kigoma Ujiji leo Jumamosi ya Machi 29, 2025.