Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,526
- 6,249
Kabisa kabisa hawafai katika circle ya maisha yetuTuwafukuzie mbali
Kuna watu Duniani tumeumbwa tofauti wapo watu hawana mishipa ya aibu unakuta mtu anakutafuta kila siku kwenye shida zake tu , nafuu ingekuwa maramoja ila kila muda akikutafuta ujue ni shida imemleta kwakoKuna mpuuzi akinisalimia ujue ana jambo aidha nimpe pesa au nimpiganishie ajira za huko tamisemi
Watupe kabisa kwenye dustbinHasa wadada, wadangaji.. kujichekesha chekesha na hawakuoendi ila wanataka pesa yako tu.... now nawapiga nje
Mpe mselaa mchongo nae aende chooni mkuu.Kuna mpuuzi akinisalimia ujue ana jambo aidha nimpe pesa au nimpiganishie ajira za huko tamisemi
No maokoto no friendship that the slogan of peopleWote mtakaokataliwa njooni kwangu mimi napokea wote wote kikubwa tusiombane maoko..
๐คWote mtakaokataliwa njooni kwangu mimi napokea wote wote kikubwa tusiombane maoko..
Nipiganishie mkuu๐๐๐Kuna mpuuzi akinisalimia ujue ana jambo aidha nimpe pesa au nimpiganishie ajira za huko tamisemi
Msubili Joanah aje akupopoeHasa wadada, wadangaji.. kujichekesha chekesha na hawakuoendi ila wanataka pesa yako tu.... now nawapiga nje
AhahahaNipiganishie mkuu๐๐๐
HahahahahaBinadam sisi bwana ndo tuko ivo,ndyo maana wenye shida tutaishia kuwa hivhiviAhahaha
Ili ukipata uniblack list
HahahahahaBinadam sisi bwana ndo tuko ivo,ndyo maana wenye shida tutaishia kuwa hivhivi
Nature ya binadamu hiiMmoja yuko air port nimempiganishia.
Tangu aje dar kuanza kazi pale JN international airport mwaka wa 3 sasa hajanitafuta