Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,709 Reaction score 6,947 Mar 11, 2015 #1 Miaka kumi iliyopita umri wa Salum ulikuwa 1/5 ya umri wa baba yake wakati huo. Miaka mitano ijayo umri wa Salumu utakuwa 1/2 ya umri wa baba yake wakati huo. Tafuta umri wa Salumu wa sasa. Karibuni wadau.
Miaka kumi iliyopita umri wa Salum ulikuwa 1/5 ya umri wa baba yake wakati huo. Miaka mitano ijayo umri wa Salumu utakuwa 1/2 ya umri wa baba yake wakati huo. Tafuta umri wa Salumu wa sasa. Karibuni wadau.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 11, 2015 #2 1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo
aspen JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 501 Reaction score 166 Mar 11, 2015 #3 Baba atakuwa kashafariki sidhani kama salumu atafikisha umri nusu wa Baba yake
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,551 Mar 11, 2015 #4 Umri wa sasa wa Salumu ni miaka 15.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,126 Reaction score 40,129 Mar 11, 2015 #5 miss chagga said: 1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo Click to expand... loh, umeshindwa swali jepesi kama hili?
miss chagga said: 1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo Click to expand... loh, umeshindwa swali jepesi kama hili?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 11, 2015 #6 ALEYN said: loh, umeshindwa swali jepesi kama hili? Click to expand... mbona ujajibu wewe???????? mi sipendi uongo ujue
ALEYN said: loh, umeshindwa swali jepesi kama hili? Click to expand... mbona ujajibu wewe???????? mi sipendi uongo ujue
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,126 Reaction score 40,129 Mar 11, 2015 #7 miss chagga said: mbona ujajibu wewe???????? mi sipendi uongo ujue Click to expand... ha ha ha ha ha ha aya bhana!!!
miss chagga said: mbona ujajibu wewe???????? mi sipendi uongo ujue Click to expand... ha ha ha ha ha ha aya bhana!!!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 11, 2015 #8 ALEYN said: ha ha ha ha ha ha aya bhana!!! Click to expand... haya..........
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,126 Reaction score 40,129 Mar 11, 2015 #9 miss chagga said: haya.......... Click to expand... Fanya utoe jibu sasa.
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,064 Mar 11, 2015 #10 Kwanza baba yake Salimu anaitwa nani na anakaa wapi nikamuulize,tusisumbue watu wengine.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 11, 2015 #11 ALEYN said: Fanya utoe jibu sasa. Click to expand... sitaki
J jamiimemba Senior Member Joined Oct 30, 2014 Posts 156 Reaction score 39 Mar 11, 2015 #12 umri wa salum ni miaka 15
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 11, 2015 #13 milioni milioni said: Kwanza baba yake Salimu anaitwa nani na anakaa wapi nikamuulize,tusisumbue watu wengine. Click to expand... ha ha ha salimu anakaa nangurunkuru
milioni milioni said: Kwanza baba yake Salimu anaitwa nani na anakaa wapi nikamuulize,tusisumbue watu wengine. Click to expand... ha ha ha salimu anakaa nangurunkuru
J jamiimemba Senior Member Joined Oct 30, 2014 Posts 156 Reaction score 39 Mar 11, 2015 #14 miss chagga said: 1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo Click to expand... hahaha umenifurahisha kwa kwel
miss chagga said: 1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo Click to expand... hahaha umenifurahisha kwa kwel
Dullah_1 Senior Member Joined Jan 15, 2015 Posts 104 Reaction score 56 Mar 11, 2015 #15 salum ana miaaka 20 na baba yake ana miaka 50
salimkabora JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,441 Reaction score 653 Mar 11, 2015 #16 s-10=b/5........(1) s+5=b/2.........(2) (2)-(1): 15=3b/10 b=50, s=20
dhk1 JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 959 Reaction score 593 Mar 11, 2015 #17 Salumu atakuwa kijana sana na babake atakuwa mzee
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,709 Reaction score 6,947 Mar 11, 2015 Thread starter #18 miss chagga said: 1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo Click to expand... source ya swali ni (Msemwa, P.B. Mitihani 12 ya Hisabati kwa darasa la 5, 6 na 7, Taaluma Publishers, mtihani wa 7, swali la 48, uk 21.
miss chagga said: 1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo Click to expand... source ya swali ni (Msemwa, P.B. Mitihani 12 ya Hisabati kwa darasa la 5, 6 na 7, Taaluma Publishers, mtihani wa 7, swali la 48, uk 21.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 11, 2015 #19 Ziltan said: source ya swali ni (Msemwa, P.B. Mitihani 12 ya Hisabati kwa darasa la 5, 6 na 7, Taaluma Publishers, mtihani wa 7, swali la 48, uk 21. Click to expand... mwongooooo
Ziltan said: source ya swali ni (Msemwa, P.B. Mitihani 12 ya Hisabati kwa darasa la 5, 6 na 7, Taaluma Publishers, mtihani wa 7, swali la 48, uk 21. Click to expand... mwongooooo
MFUKUZI JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 933 Reaction score 700 Mar 11, 2015 #20 UMRI WA SALUM miaka 20