Ah mi mkali mkuu english imelala hapa hahaha leta jingine ni kutasfirie halafu nakurushia na la kwangu utasfiri ukishindwa uhamie instagram maana uko ndio kwa vilaza
"Father im your son of how many".. Afu hapo unamwita kwa mapozi yote huku ukitilia mbwembwe za kibongo movie..! Badala yakusema 'ntakukata mtama'.... Utaskia "I will cut you a millet"